Chalinze, Pwani: Askari trafiki agongwa na kufariki

Huo ni ujumbe wamezidi kila sehemu simama kisa wachukue rushwa, kula hatua wanasimamisha gari hadi wanaathiri muda wa safari sasa, njia nzima mnasimama kidogo trafiki hapana wamezidi
Vipi angekuwa ndio baba yako mzazi, kaka yako, mjomba wako! Ungewaambia msibani kuwa nyie Askari mnazidi sana??

Mazingira ya ajali yanafikirisha kidogo, jamaa kumfuata Askari na gari changamoto sana, pole ndg yetu dereva na familia yako, na familia ya Askari wetu...
 
ukioana mtu anaandika hivyo ujue hata gari hana.

wewe ni shahidi,kama unatumia daladala mjini hapa,kati ya konda na dereva kwenye gari ni yupi huwa ana kelele kwa askari baada ya kurudi wakitoka kuitikia wito wa askari,dereva hukaa kimya maana anajua sheria za chombo chake,ila konda sasa!!!
 
Wasukuma walishajiona nchi ni yao kabisa. Yaani anamjua Askari kwa makusudi kabisa. Kuna haja Traffic Police watembee na Bunduki sasa

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Kuhukumu kabila si sawa, ajali hutokea popote tu, vyombo vya moto hivyo ndg, lakini pia hatujui uhalisia wake, haya ninmaelezo ya police, huwezi kujua mazingira halisi na kwa police chochote chaweza kuwa
 
Tunawaamini sana Polisi hawawezi kusema Uongo, ndio maana tunawapa hata Bunduki na Risasi bila woga. Kwanini husikii Moshi Polisi Akagongwa kwa Makusudi. WASUKUMA wanajiona wao ni wao. Leo Bila Askari njiani tungekuwa na hali gani? Bado Msukuma bila kujali au kuthamini mchango wao anamgonga

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Tena hata humu jf KISBO zilisifiwa sana kwa mwendo wa hovyo.

Bado Sauli la Mbeya na Nyagawa la Njombe. Siku yakiua traffic police ndio akili zao zitakaa sawa.
Kisbo ya Kahama inatembea kawaida tu siku hizi, hata za Mwanza kwa sasa si sana, wapo wababe, Chungwa watoto wa shy town, hao ndio balaa, Kahama Fre boys angalau!
Kisbo itakuwa bahati mbaya tu, siku hizi njia hiyo kachoka sana, kwa hao wengine sawa
 
Natamani hata nimpe zawadi huyo dreva ushukuliwe dereva kwa kupunguza yangeyange limoja nashauri kila siku awe anatoweka mmoja kupisha ajira mpya majitu yenyewe ni form 4 ila yanasumbua kama ya digrii za sheria

Trafiki wote ni takataka wakugonga tu
Unakosea sana kijana mwenzangu kusea kauli kama iyo,kumbuka nae marehemu ni binadamu kama wewe tu,fikiria alivyokufa ivyo mke,watoto na nduguzake wakatakuwa katika hali gani wakiona maneno kama hayo,hebu yabebe yaweke kwa kaka yako usikie ivyo
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom