Chalinze inazidi mikoa ifuatayo

Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Ungesema mji Mdogo,siyo mji!
 
Sasa ni saa 4 kasoro usiku,
CCM tunawakumbusha na kuwaomba wapiga kura wetu wote msisahau kuweka Net kuzuia Mbu-Malaria-Kifo, baada ya 2020 ruhusa hata ukitaka kulala kwenye karavati.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Chalinze ni kama Maganzo tu ikijitahidi sana ni kama Ushirombo.
 
Hahahaha
 
Chalinze hii hii ninayoishi mimi au nyingine?[emoji848]
 
Sasa wewe umetembea mikoa 10 tu ,wengine tumemaliza mikoa yote ya bara na visiwani
 
Ninaamini wewe hata mikoa 15 ya Tanzania hujafika ndani ya hii miaka 2. Kuna mikoa iko chini zaidi ya uliyoiweka hapa.
 
Chalinze na udogo wake huo ila ina mzunguko wa fedha wa kufa mtu,Mtwara hakuna kitu pamekauka sana.
 
Bro point kubwa sana hiyo na tungefuata hivyo Tanzania huko mikoani kungekuwa kuzuri sana. Sasa mtu unajenga nyumba zuri ila njia hamna na ukinunua hata gari unapaki sehemu za kulipia kwa kuwa nyumbani kwako gari hiingii
 
Chalinze na udogo wake huo ila ina mzunguko wa fedha wa kufa mtu,Mtwara hakuna kitu pamekauka sana.
Hakuna kitu kama hicho. Mzunguko kwa sababau ya kuuza packs za Korosho kwenye mabasi? Yaani mzunguko wa hela kwa sababu ya vurugu za wamachinga kwenye mabasi? Hivi unajuaa maana ya mji na mapato kweli?
Unachekesha sana.
Chalinze ni sawa na Kitongoji kimoja tu pale Mjini Mtwara yaani barabara kuu ya Mtwara-Dar eneo la Magomeni kuanzia Round about hadi Magomeni mwisho (Nkana Red) na pana vurugu sana kama hizo za Chalinze.
Key indicators zako siyo sahihi kabisa
 
Chalinze na udogo wake huo ila ina mzunguko wa fedha wa kufa mtu,Mtwara hakuna kitu pamekauka sana.
Maelezo yako yako hivi:-
1. Kwa Mzunguko wa Fedha
2. Maendeleo
3. Majengo
Hivyo vitu vitatu,kweli Chalinze ina ubavu wa kupambana hata na Masasi?
Logical Thinking and Reasoning yako inanipa mashaka.
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Labda kwa kuuza mananasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…