Watachemka tu ndege bila abiria ,last week nimepanda ndege kwenda bukoba tulikuwa abiria wasiozidi 20Sehemu gani isiyo na mzunguko wa hela mpaka safari za ndege zinaongezwa? Ona hii habari uone kwamba hii bukoba sio ya mchezoView attachment 949349
Watu wengi wa kagera wanapenda mabasi na sio ndege,mara kumi wangongeza njia ya KIA kwa wachaga msimu wa sikukuu wangevuna sana.Sehemu gani isiyo na mzunguko wa hela mpaka safari za ndege zinaongezwa? Ona hii habari uone kwamba hii bukoba sio ya mchezoView attachment 949349
Kuna biashahara nyingi zinazoendelea ChalinzeNdio ni hicho tu wanachozidi Chalinze
Biashara ipi hiyo ya kuifanya Chalinze kuwa juu ?!Kuna shughuli mbambali hasa za kibiashara
Zitaje angalau 5Kuna shughuli mbambali hasa za kibiashara
Acha uongo nenda kabook ticket yako Kwa safari ya kesho uone kama utapata nafasi .na juzi waziri amesema uwanja wa bukoba utapanuliwa Kwanza airport yenyewe ya tatu Kwa jengo la wasafiri kwanzaWatu wengi wa kagera wanapenda mabasi na sio ndege,mara kumi wangongeza njia ya KIA kwa wachaga msimu wa sikukuu wangevuna sana.
Mkuu ili uweze kujenga hoja yako no lazinna ujue we vigezo vinavyotumika katika kupata jiji,municipal,mji,Hal ashauri,na karhalu.Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Hawezi kukutajia,ajuacho kuuza korosho zile za Tsh 500,1000 na 2000 kwa packet,zile nazi,mananasi yale ya sokoni na vitu vya asili kama mbuzi ya kukunia nazi zinazouzwa pembezoni mwa barabara ndiyo mzunguko wa pesa. Jamaa anachekesha sana. Akikutajia shughuli 5 za uchumi(siyo za uchuuzi), naomba unitag!Biashara ipi hiyo ya kuifanya Chalinze kuwa juu ?!
Acha utani, Chalinze hata hadhi ya Halmashauri ya Mji hawana, unawezaje kufananisha na Halmashauri za Miji na Manispaa ulizozitaja?Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Achana na huyo kenge wa kikwere ushamba umemzidi....,
Hivi chalinze mjini pakoje? Ndio pale njia panda?Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
ndipo penyeweHivi chalinze mjini pakoje? Ndio pale njia panda?
Majengo yote ayo ni kama magofu,yanini kujenga hotel kubwa wakati hakuna wateja wa kulala , mara kumi ata Chalinze wanauza mananasi mabilioni ya fedha yanaingia kila mwezi.Achana na huyo kenge wa kikwere ushamba umemzidi....,
Ila pole mkubwa , naona jiwe gizani limefanya kazi yakeAchana na huyo kenge wa kikwere ushamba umemzidi....,
Hamna jiwe gizani zaidi ya kutukutembea kuona mikoa uliyoitaja na kufananisha na swekeni kama la Chalinze.Ila pole mkubwa , naona jiwe gizani limefanya kazi yake
labda haujaelewa, pamoja na hadhi ndogo iyo ya chalinze,ila mzunguko wa fedha ni mkubwa sana kuzidi miji niliyoitaja,sasa wengien wanaleta mapicha ya mahotel humu ya uko Bukoba wakati hotel zenyewe kwa mwezi zinaingiza laki 8.Acha utani, Chalinze hata hadhi ya Halmashauri ya Mji hawana, unawezaje kufananisha na Halmashauri za Miji na Manispaa ulizozitaja?
Vv
location ya chalinze inaibeba sana kuwa na mzunguko wa fedha wa maana ,mikoa mingi kama Bukoba na Mara wenyeji wengi wameikimbia na hawapendi kuendeleza mikoa ya nyumbani kwao.Hamna jiwe gizani zaidi ya kutukutembea kuona mikoa uliyoitaja na kufananisha na swekeni kama la Chalinze.
Duh.ndipo penyewe