Chakula kipo kingi

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,023
1,315
f01527a7e306ee6cee0bd8ea0d4318a1.jpg
 
Unakula kulingana na kazi unayofanya sasa mtu kama mwanaume wa Dar akiamka anaenda bafuni kuoga anaingia chumbani anakaa kwenye dressing table kujipodoa akitoka hapo anaenda saloon ya kike kutengeneza nywele anashindana na dada zake unategemea atakula chakula gani ni embe na pilipili chips na maji ya 50
 
Wenye nyumba wa Dar,wakiona mpangaji anakula hivo basi anajua hata choo chake akitachukua muda kujaa,kwahiyo mwenye nyumba akikufuma unakula hivo,basi jiandae kuhama.
 
Unakula kulingana na kazi unayofanya sasa mtu kama mwanaume wa Dar akiamka anaenda bafuni kuoga anaingia chumbani anakaa kwenye dressing table kujipodoa akitoka hapo anaenda saloon ya kike kutengeneza nywele anashindana na dada zake unategemea atakula chakula gani ni embe na pilipili chips na maji ya 50
ndo mnavofanya uko mkuu??
 
ndio chanzo cha kupungua chakula nchini kila mtu akipika ugari mkubwa hivyo gara za taifa wiki hazina kitu
acha uongo mkuu..lini food shortage ikasababishwa na kiwango cha kushiba??

kumbuka ATP consumption mwilini inategemea na nature ya kazi pamoja na umri...suluhisho ni kula ushibe ili ukafanye kazi kumbe ndo nyie tukija dar mnatukodolea wakati wa chakula!!?? acha hiyo tabia aisee
 
Back
Top Bottom