Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
Habarini Wana JamiiForums wenzangu, old school, mid school Na new school.
Dhumuni la Uzi huu ni kukumbushana vitu ambavyo viko nyuma ya chakula.
CHAKULA HUFUNGUA MOYO.
Unamtaka demu mkali, unaanza kwa kumpelekea juice office kwake, Mara lunch box Na bàadae unaanza kumuomba umtoe mkale chakula pamoja mchana. Ukienda hivyo kuna siku utamuomba mtoke mkapate dinner and wine glass. Mwendo huo mtajikuta mmepata katoto.
Twende kwenye reference za kidini.
ƥ Abraham alipowaona malaika watatu wakiwa kwenye miili ya kibinadamu aliwaalika kwake akawachinjia ndama mzuri Na mkate.
Matokeo yake, Walimpa Abraham mtoto Isaka, walimwambia Sarah mwakani majira kama Haya utabeba mtoto wa tumbo lako.
Pia malaika wakasemezana je tumfiche Abraham jambo hili? Wakamweleza Ibrahim juu ya mpango wa kulipua Sodoma Na Gomora Na Ibrahim akaweza kumponya binamu yake Lutu.
Ibrahim asingewakaribisha nyumbani Na kuwa chakula asingepata mtoto Wala kumponya Lutu.
∆° Enzi za Esta Malkia Washindi walikuwa wanatakiwa kuuawa, mipango ya mauaji ilifanywa Na Hamani waziri Mkuu. Esta alimuandalia Mfalme karamu Na Hamani akiwa ni miongoni mwa waalikwa. Party ya Kwanza haikuwa Na matokeo aliyokuwa akiyataka Esta.
Akaandaa karamu nyingine Na waalikwa wale wale. Mfalme akafurahishwa Na chakula. Akasema, Esta nini haja ya moyo wako? Wewe sema hata Ukitaka nusu ya ufalme nitakupa. Esta akamwambia Mfalme kuwa Hamani amedhamiria kuniua mimi Na Wayahudi wenzangu, Hamani kilichompata baada ya hapo ni historia.
Ndugu zangu Leo nimetoa mifano michache sana, lakini tukumbuke chakula kina nguvu sana ya kutuvusha kwenye shida zetu. mshana jr anasema CHAKULA NI IBADA.
KUTOA NI BORA KULIKO KUPOKEA