Chakula cha mchana,karibuni wana JF!

Chakula cha mchana,karibuni wana JF!

Niko o levo kuna shule ipo maeneo ya Magomeni ni sekondari, kuna njuka akasema anamaliza mihogo 50, enzi hizo shilingi 50 vipande viwili vidogo ila vilaini kama unga.

Tukachanga tukanunua 50 Muuza mihogo akaongeza mihogo 5. watu tukaweka duara kwenye uwanja wa mpira wa ile shule, dogo akaanzisha balaa lake.

Akiwa anaelekea mhogo wa 27 (sikumbuki vizuri) akainuka akasema anaomba maji.

Akapewa kwenye kikombe. Akanywa.

Akapiga mwayo akawa kama anataka kukaa aendeleze balaa lake.

Dogo chini, kazimia pale pale.

Tukatawanyika faster.

Ila alipona.
 
c5d42d45f7c8990f37d6c54431bc1259.jpg
The guy is seriously sick
 
Halafu WaTanzania tunalalama Eti
Nchi inanjaa.Kumbe Mkulu alisema kweli.
 
Back
Top Bottom