Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Mbona hapa ni kama unejistukiamimi sio mbea ilitokea tu nikajua .
Ndo maana katafuta mchepuko.kula mtaani nako riskAtafute tu pesa kama hashibi kwake aanze kuku mtaani akifika home ana top up na ugali tembele alioachiwa.
Kweli yaaniUnaoa au kuolewa ndio kwanza mnaanza maisha eti unakaribisha ndugu kuishi nao ujinga mtupu. Afrika umaskini mwingine tunaukaribisha wenyewe
Pole...
Huyo atakuwa ni mpuuzi kupita upuuzi wenyewe.Atafute tu pesa kama hashibi kwake aanze kuku mtaani akifika home ana top up na ugali tembele alioachiwa.
Mleta uzi ni miss wa ukweli ndugu yake miss chaggaMleta uzi ndiye huyo baba na ndiye mwenye mcheps [emoji102]
And yes, you are from Pwani hahahahahahahahaIla inatakiwa chakula kikiiva tu hata kabla watoto hawajala chakula cha baba kitengwe pembeni tena sio baba tu mtu yeyote anayetafuta kula kwa ajili ya familia
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi adabu hakuna.baba anakomboleza mboga kwenye bakuli akichelewaIla inatakiwa chakula kikiiva tu hata kabla watoto hawajala chakula cha baba kitengwe pembeni tena sio baba tu mtu yeyote anayetafuta kula kwa ajili ya familia
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu michepuko inatoa penzi tamu hatari!Mbunye ndiyo yenyewe, mwanaume hachepuki kwa kufuata kula basi tungekuwa tunashinda kwa akina mama lishe
Kabisa yaaniSiku hizi adabu hakuna.baba anakomboleza mboga kwenye bakuli akichelewa
Sent using Jamii Forums mobile app