Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 3,734
- 4,352
Neno concentrate Kwa Muktadha wa chakula, haujalikosea. Kuna Beef concentrate, Swine/ pig concentrate n.k.Mkuu mimi ni mfugaji tu na sio mtaalamu wa chakula, na maana niliyotoa ni kwa mujibu wa watu wanaotuuzia hizo concentrate ndio wanatuambia hivo
Kwahiyo kama nimekosea karibu unisahihishe, inawezeana kwa namna moja au ingine tunadanganywa na Hawa wauzaji, kwahiyo kuliko kuishia kucheka ni bora ukatusaidia kutupa ukweli juu ya hizi concentrate
Ni vyakula ambavyo vina "concentrated nutrients", yaani virutubisho vimekolezwa kwa wingi.