Tunauza koudjis ya nguruwe kilo 50, ni concentrates yenye virutubisho muhimu kwa nguruwe. Tuna koudjis concentrates ya 20/15 kwa ajili ya wenye mimba, kupata joto, na wanaonyonyesha. Pia tuna koudjis concentrates ya 30/25 kwa ajili ya wanaokuwa, na ukuzaji wa nguruwe.
Formula ni rahisi kabisa karibu,
Hapo chakula chako ukichanganya na koudjis inabidi uchukue kg 25 za koudjis plus kg 75 za mahindi au pumba ya mahindi... Una mix vzr upate kg 100 then unalisha nguruwe ni rahisi sana.
Wateja wote wanaotumia koudjis concentrates pig, wana matokeo mazuri juu ya chakula chetu.