Chakula bora cha Nguruwe wa kisasa

Chakula bora cha Nguruwe wa kisasa

sam sanity 01

Member
Joined
May 25, 2017
Posts
41
Reaction score
12
Mimi natumia gharama kubwa kupata mchanganyo kwaajiri ya nguruwe ambao ni:-
Pumba mahindi 700kg
Concentrate 50kg
Mashudu 200kg
OlaQuindox 500mg
Bokhash 10kg
Dcp 10pkt
Pig booster 10pkt
Toxic binder 1kg
Jumla tani 1 ya chakula.
Napata matokeo lakini faida inakuja ndogo sana.
Je wanajamii kunamwenye mchanganyo mzuri na wenye gharama nafuu.
 
Unahangaika bule kitu Mungu akishasema haramu basi ujue ni haramu tu

Kwani usizitimie hizo nguvu kufuga Ng'ombe?
Kuliko hivyo unavyohangaika kufuga binadamu wenzake wa zamani waliolaniwa
 
Asubh asubh mnaanza ongelea najisi
Shame apon you all
 
Mimi natumia gharama kubwa kupata mchanganyo kwaajiri ya nguruwe ambao ni:-
Pumba mahindi 700kg
Concentrate 50kg
Mashudu 200kg
OlaQuindox 500mg
Bokhash 10kg
Dcp 10pkt
Pig booster 10pkt
Toxic binder 1kg
Jumla tani 1 ya chakula.
Napata matokeo lakini faida inakuja ndogo sana.
Je wanajamii kunamwenye mchanganyo mzuri na wenye gharama nafuu.
Mkuu hasara inakuja kwenye nini
 
Huu sio uchanganyaji sahihi. Jitahidi upate elimu na folmula nzuri ya uchanganyaji chakula.
Na ukubali kugharamika, formula hazitolewi bure bure.
 
Tunauza koudjis ya nguruwe kilo 50, ni concentrates yenye virutubisho muhimu kwa nguruwe. Tuna koudjis concentrates ya 20/15 kwa ajili ya wenye mimba, kupata joto, na wanaonyonyesha. Pia tuna koudjis concentrates ya 30/25 kwa ajili ya wanaokuwa, na ukuzaji wa nguruwe.

Formula ni rahisi kabisa karibu,

Hapo chakula chako ukichanganya na koudjis inabidi uchukue kg 25 za koudjis plus kg 75 za mahindi au pumba ya mahindi... Una mix vzr upate kg 100 then unalisha nguruwe ni rahisi sana.

Wateja wote wanaotumia koudjis concentrates pig, wana matokeo mazuri juu ya chakula chetu.
 
Mimi natumia gharama kubwa kupata mchanganyo kwaajiri ya nguruwe ambao ni:-
Pumba mahindi 700kg
Concentrate 50kg
Mashudu 200kg
OlaQuindox 500mg
Bokhash 10kg
Dcp 10pkt
Pig booster 10pkt
Toxic binder 1kg
Jumla tani 1 ya chakula.
Napata matokeo lakini faida inakuja ndogo sana.
Je wanajamii kunamwenye mchanganyo mzuri na wenye gharama nafuu.
Hutopata matokeo kwa uchanganyaji huu!
Msome nguruwe na umjue vizuri mahitaji yake + soma malighafi moja moja ina undwa na nn na nini kisha rudi kwenye hesabu kupata folmula. Ila ukiona SI njia nyepesi kubali kutoboka mfuko ULIPIE formula kutoka kwa wadau/ tafuta mfugaji mzoefu atakae kubali kukuelekeza bure( sina uhakika na hili) la sivyo ukubali kununua vyakula( concentrate) na kufuata maelekezo ya mzalishaji.
 
Mimi natumia gharama kubwa kupata mchanganyo kwaajiri ya nguruwe ambao ni:-
Pumba mahindi 700kg
Concentrate 50kg
Mashudu 200kg
OlaQuindox 500mg
Bokhash 10kg
Dcp 10pkt
Pig booster 10pkt
Toxic binder 1kg
Jumla tani 1 ya chakula.
Napata matokeo lakini faida inakuja ndogo sana.
Je wanajamii kunamwenye mchanganyo mzuri na wenye gharama nafuu.
Mkuu labda ungekuwa specific kuwa hasara unapataje, kwa sababu kwa kuangalia hapo me sioni unpataje hasara labda udadavue hizo materials unanunua kwa kiasi Gani na hiyo 1tan wanakula nguruwe wangapi kwa siku ngapi
 
Mimi natumia gharama kubwa kupata mchanganyo kwaajiri ya nguruwe ambao ni:-
Pumba mahindi 700kg
Concentrate 50kg
Mashudu 200kg
OlaQuindox 500mg
Bokhash 10kg
Dcp 10pkt
Pig booster 10pkt
Toxic binder 1kg
Jumla tani 1 ya chakula.
Napata matokeo lakini faida inakuja ndogo sana.
Je wanajamii kunamwenye mchanganyo mzuri na wenye gharama nafuu.
Taratibu kwanza hivi concetrate ni nn kwanza maana hapa naona kuna shida mahali hakuna sehemu au ingredients inaitwa ilo jina sema makanjanja wameshawadanganya wafugaji wengi lengo wajipatie pesa kwa udanganyifu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom