CHAKUHAWATA wawageuza Walimu upatu, wagawana Tsh. Milioni 400 za Wanachama

Nyie vibaraka wa mabaradhuli C W T acheni kupotosha. Yaani ni heri kumchangia yatima 5000/-kuliko kumchangia hiyo CWT 2% ya mishahara Kila mwezi kwa ajili ya kuwatunza wachumia tumbo waliojazana kwenye maofisi Yao. Hawana msaada wowote kwa walimu.
CWT ni wezi wa mishahara ya walimu. Ni wanyonyaji, kupe anavyonza tu na hamsaidii mwalimu kwa chochote .

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Naomba kuwauliza nyie walimu:

1. Kule kwenye international forum ikitokea mwaliko ni mwakilishi yupi mtamtuma? kutoka chama gani?

2. Je ILO inatambua kwamba ndani ya nchi yetu kuna chama zaidi ya kimoja kinachotetea maslahi ya watumishi wa kada moja?

3. Serikali imeingia mkataba na vyama vyote hivi au ni geresha?

4. Makato halisi kwa mujibu wa sheria ni yapi? Je ni 2% au ni kiasi chochote mtu anachoamua?

Ufahamu wangu ni mdogo juu ya mambo haya, naomba wadau mnisaidie.
Hiyo ILO itamsaidia Nini mwalimu. To hell with CWT... IFE NA IBAKIE MZOGA NOW AND FOR EVER..

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Naomba kuwauliza nyie walimu:

1. Kule kwenye international forum ikitokea mwaliko ni mwakilishi yupi mtamtuma? kutoka chama gani?

2. Je ILO inatambua kwamba ndani ya nchi yetu kuna chama zaidi ya kimoja kinachotetea maslahi ya watumishi wa kada moja?

3. Serikali imeingia mkataba na vyama vyote hivi au ni geresha?

4. Makato halisi kwa mujibu wa sheria ni yapi? Je ni 2% au ni kiasi chochote mtu anachoamua?

Ufahamu wangu ni mdogo juu ya mambo haya, naomba wadau mnisaidie.

Kama kimesajiriwa maana yake vigezo vilitimia.
 
Nyie vibaraka wa mabaradhuli C W T acheni kupotosha. Yaani ni heri kumchangia yatima 5000/-kuliko kumchangia hiyo CWT 2% ya mishahara Kila mwezi kwa ajili ya kuwatunza wachumia tumbo waliojazana kwenye maofisi Yao. Hawana msaada wowote kwa walimu.
CWT ni wezi wa mishahara ya walimu. Ni wanyonyaji, kupe anavyonza tu na hamsaidii mwalimu kwa chochote .

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Na kwanini ulazimishwe kujiunga na CWT, hapo ndio huwa napata shida
 
Mh! Huo ni uongo hata kama anaiba hawezi kukupa majibu ya namna hiyo, wewe nani hasa wa kuuliza maswali?!
 
Mi nimefichua yaliyojificha kupitia walimu wenyewe, kuwa CHAKUHAWATA wanagawana fedha za walimu kama Upatu ,kwa mgawanyo huo..
 
Naomba kuwauliza nyie walimu:

1. Kule kwenye international forum ikitokea mwaliko ni mwakilishi yupi mtamtuma? kutoka chama gani?

2. Je ILO inatambua kwamba ndani ya nchi yetu kuna chama zaidi ya kimoja kinachotetea maslahi ya watumishi wa kada moja?

3. Serikali imeingia mkataba na vyama vyote hivi au ni geresha?

4. Makato halisi kwa mujibu wa sheria ni yapi? Je ni 2% au ni kiasi chochote mtu anachoamua?

Ufahamu wangu ni mdogo juu ya mambo haya, naomba wadau mnisaidie.
Makato hayatakiwi kuzidi 2%. Mwakilishi anatoka katika chama chenye wanachama wengi.
 
Kisha hapa tutarajie elimu bora kwa watoto wetu kweli?! Walimu mnalumbana wenyewe kwa wenyewe juu ya pesa vyamani, mkija shuleni mnadai michango, mnauza visheti, mnaweka remedial za kimagumashi na bado mkiingia darasani ni mipasho na matusi kwa wanafunzi wenu kufundisha hamuwezi kabisaa!!

Walimu kweli walishastaafu wote wamebaki wajasiriamali tuu.
 
Back
Top Bottom