Habari za mapumziko wana MMU!!
Mwanajamvi mwenzetu chakii amefiwa na dada yake leo asubuhi huko Machame,Moshi.
Taratibu za mazishi zinafanyika huko huko Machame.
Mungu awape wafiwa imani na utulivu katika kipindi hiki kigumu.
=======================================
Poleni sana wafiwa wote.
Pole sana mkuu, Mungu awape faraja ninyi nyote wa familia yenu
Pole sana mpendwa Mungu akuongoze katika wakati huu wa majonzi.
Poleni wafiwaHabari za mapumziko wana MMU!!
Mwanajamvi mwenzetu chakii amefiwa na dada yake leo asubuhi huko Machame,Moshi.
Taratibu za mazishi zinafanyika huko huko Machame.
Mungu awape wafiwa imani na utulivu katika kipindi hiki kigumu.
=======================================
Bwana ametoa bwana ametwaaAhsante mkuu,.
RipPole sana mpendwa Mungu akuongoze katika wakati huu wa majonzi.
Mkuu unakosea sana, thread ni ya msiba wa miaka 10 iliyopita, yanini kuibua leo?🤔Poleni wafiwa
RipMkuu unakosea sana, thread ni ya msiba wa miaka 10 iliyopita, yanini kuibua leo?🤔