Habari za mapumziko wana MMU!!
Mwanajamvi mwenzetu
chakii amefiwa na dada yake leo asubuhi huko Machame,Moshi.
Taratibu za mazishi zinafanyika huko huko Machame.
Mungu awape wafiwa imani na utulivu katika kipindi hiki kigumu.
=======================================