I am Man-U because it is the best team of the world, I am T-P Mazembe because it is the best team of Africa and I am Yanga because it is the best team of Tanzania. Na atakae bisha hili atakua anaconfirm tu superiority ya team hizi 3!
yep! na nimewasiliana na mtangazaji mwenzangu Uporoto a.k.a "baskeli bila rust" anasema man city wanaongoza bao mbili, mtangazaji wetu wa bayern na napoli inasemekana ameporwa mic maana mpaka sasa hapatikani hewani.Watu wa sports leo naona mwanirusha tu!! Face book kasema ni Lyons Vs Madrid, hawa wa Man-U nao wanacheza pia (as in sasa hivi)??
hafu taim, manu wanaongoza kwa bao moja lililofungwa na mkimbizi flani anaitwa valencia.
nikiripoti laivu kutoka old traffodi ni mimi mtangazaji wenu a.k.a "mswaki wa jiti"
Hapo ndo pamenifanya niboreke.... yeye yupo kuangalia game, haoni wala haambiwi....lol... Nitajaribu basi kujifunza... naon moja kwa moja itabidi niingie Manchester....lol
I am Man-U because it is the best team of the world, I am T-P Mazembe because it is the best team of Africa and I am Yanga because it is the best team of Tanzania. Na atakae bisha hili atakua anaconfirm tu superiority ya team hizi 3!
Najaribu kufikiria namna ya kuchakachua!!
News Alert: Habari zilizotufikia muda mfupi uliopita kwenye studio zetu ni kwamba serikali ya bangladeshi imepandisha bei ya chumvi.
Haya nakupenda, mzima wewe jamani
hehehe wakati tunaendelea kupokea habari, jenereta lilimaliza diesel hafla.....tuvumilieni kidogo, tutarudi hewani soondah...hii kweli chakachua....jana ilikuwa india pilipili....leo bangladesh chumvi....e hee....wamesema ni pesa ngapi....(kwa hela ya chile plz)
Ngoja aje a-confirm mwenyewe.... Husny mwenyewe kakimbia naona mpaka mhusika aje ndo atatinga hapa.....lol
Basi ni PakaJimmy!
Acha kujifanya haujaniona, si useme tu bana.hahahaha! Mpaka sahv simuoni. Nasusa kulala leo.
Acha kujifanya haujaniona, si useme tu bana.
Halaf mzembe leo nimeondoka na singlendi tu, yaani ukiniona hauwezi kunitofautisha na lonado di kaprio. Kila ninapopita vidada vinajikwaa.sijakuona wala nini. Labda nivae miwani yangu ya jua.
mzima. Nimekumiss miss. Chana bateta ndio jiii? Poa tu.
Halaf mzembe leo nimeondoka na singlendi tu, yaani ukiniona hauwezi kunitofautisha na lonado di kaprio. Kila ninapopita vidada vinajikwaa.
kulaleki!
wee zembea tu