Husninyo hata sijui nikwambie nini ,,ila nitakucheki tuchonge kidogo..
Nilikuwa bado natafakari ndoa ya Kim K iliyodumu siku 72...
Yaani mie nimesoma hapo kwa red tu.......... huko kwingine hakuna maslahi kwa taifa.
Sijambo shem.......... na ikawaje ukaanzisha myuziful sredi namna hii afu usinihabarishe? Ntakusemea!
Yaani taaaaaratibu naanza kuwa spare tyre!
Inauma sana aisee!
First L hebu imagine mbwembwe zoooote zile??? Dah.....
Mzima wewe dear.... (nimekuona ndo nakumbuka sijatembelea G-mail)
Khaa!! AD Dearest... imebidi nikujibu kabla hata post ya ODM..... Ulikua wapi siku zooote hizi??? Source; Babu...
Personally nili Miss kukuona na kugongana namna hii....
Ushasahau ODM ako selfish linapokuja swala linalomhusisha ADI? Hujajua ODM ako na mawivu?Shem hebu niombe RADHI!!! Huyu mtoto siku nyingi sijamuona NIMEFURAHI saaana..... Na wewe siku zoote tupo wote dear.... Yaani nisigeuze kichea hata kidogo darling shem??
Yaani taaaaaratibu naanza kuwa spare tyre!
Inauma sana aisee!
Halafu leo kasema..
hatakaa aolewe kwa sababu ya pesa...
dahhh ..
harusi ya milioni 10 za US...
Na alilipwa US $ 17 million kwa kuonyesha
harusi yake kwenye TV.....
kweli kuwa Celeb Kazi....
Nimekujibu kule chumbani my dear ....
Khee! Huyo mbibi mwenye watoto 11 kila mtoto na baba yake na wajukuu kazaa ndo leo anaitwa mtoto. Kama FL1 ni mtoto basi Afrodenzi atakuwa bado kiunoni mwa babu yake.........Shem hebu niombe RADHI!!! Huyu mtoto siku nyingi sijamuona NIMEFURAHI saaana..... Na wewe siku zoote tupo wote dear.... Yaani nisigeuze kichea hata kidogo darling shem??
Thats my girlie:babu acha wivu basi...
haya nime ku miso.....
tabasamu basi khaaa...
Thanks ngoja nicheki ....AD ulienda wapi lakini ama ndo msimu wa kilimo huu?
Thats my girlie:
Zawadi yako: Ntakukabizi mimba ya mapacha
Njoo huku rum na kale kamkongojo ulikoninunulia Shanghai.
Acha uchoyo, nyingine ntampa Lizzy..........dahhh ndo nini kunipunguzia..
si uliniambia utanizawadi ya watatu ....
asante mamito..
nilikuwa napitia pitia tu mikwaruzo
ya maisha.. ..
Hata mi nili wa miss sana tu ..
Naona unaendeleza jukwaa kwa kwenda mbele..
safi sana .... and Thanx ..
Khee! Huyo mbibi mwenye watoto 11 kila mtoto na baba yake na wajukuu kazaa ndo leo anaitwa mtoto. Kama FL1 ni mtoto basi Afrodenzi atakuwa bado kiunoni mwa babu yake.........
Sijakuona siku nyingi ukiwa na uso wa simanzi.Jamani shem mbona I meant AfroDenzi?? lol... Shem nishaona leo unanitafuta... Nimekosa nini dear??
Unapokuwa na simanzi unakuwa mbyutiful mpaka namwonea wivu hommie.Kwa hio shida yako nihuzunike?? Khaa!!
Acha uchoyo, nyingine ntampa Lizzy..........
Hivi ako wapi huyu dada angu?