chaja na simu

chaja na simu

Jeji

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
1,973
Reaction score
372
amini usiamini chaja na simu ni mtu na mpenzi wake, na walitaka wasikutane (kimwili)
mpaka wafunge ndoa, ila wewe na wenzako mlivyokuwa mna tabia mbaya mnachukuwa
chaja mnaichomeka kwenye simu kisha mnaulizana 'inaingia eeeh' tabia mbaya acheni huo mchezo sio vizuri.
 
Eh! Makubwa! Kweli kila mtu na mawazo yake. Hata ckuwah kufikiria hiv.
 
Back
Top Bottom