monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,888
- 13,645
Acha kuingiza siasa kwenye issue nyeti Ndugu yangu,kumbuka kuna watu walipoteza wazazi,marafiki,wajomba,shangazi,watoto,kaka,Dada,baba na mama zaoMimi ninachokiona hapa ni baada ya lile tamko la nchi flani kuhusiana na uchaguzi mdogo wa nchi flani basi kama jamaa wameamua kuingia kazini ndio sababu zinaanza kutafutwa kulink uongo uongo tu ili kutimiza azma yao; wana historia hiyo.
Tumia hata hizo akili zako kidogo ulizonazo!
Sent using Jamii Forums mobile app