Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,070
- 23,453
Mkuu kuna jambo rais asijue ama asijulushwe?Naunga mkono hoja ya Mbao za Mawe. Guys hii ni Nchi, kuna covert operation nyingi zinafanyika sehemu mbalimbali na hamji kuzijua. Ni ifahamike kuwa operation kama hizo hata Rais huwa hapewi taarifa.
Hivyo tukianza kuibua mambo yanayofanyika covertly humu Nchini hapatatosha. Hebu cheki huko juu kwenye komenti kuna member wanaonyesha walikuwa wanaofahamu lakini hawakuwahi sema.
Zingine ni siri za Nchi forever, zikivuja ujue hazina madhara tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyanzo vyake vya habari ni zaidi ya unavyovijua ama unavyovidhania wewe.
Wote wanaowajibika kwake hujitahidi sana kumpatia taarifa kila mmoja kwa muda wake.
Wachache wanafahamiana, lakini wengi hawajuani.
Anayewajibika kumpatia taarifa zilizochujwa akizembea ama kuficha, rais hupata taarifa ghafi kutoka kwenye vyanzo vyake vingine na kuchukua hatua anazoona zinafaa.
Kwa hiyo kwa kutetea vitumbua, kila mmoja mwenye wajibu hujitahidi kuwajibika.
Sent using Jamii Forums mobile app