Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,818
- 62,027
Akiongea kupitia mtandao wa Youtube, Shushushu wa zamani wa Idara ya usalama wa Taifa, ndugu Evarist Chahali amesema kuwa maofisa wa kitengo wamedakwa huko Marekani wakiwa ktk plan za kuwadhuru Wanaharakati wa Kitanzania waishio huko.
Chahali akasema kuwa walengwa ni watanzania waliokuwa wakimsapoti Tundu Lissu, ambao walikuwa wakifanya fundraising kumsaidia Lissu ktk harakati zake za kugombea uenyekiti CHADEMA. Unaweza kumsikiliza mwenyewe hapa