Chaguzi zenye mashaka.

nrowlande

New Member
Oct 3, 2011
1
0
Kila ninapotizama chaguzi zinazofanyika hasa katika nchi za kiafrika,nahisi kupoteza maana ya demokrasia.

Kama hii ndiyo tafsiri yake basi kama kuna kitu cha kuogopa kukisogelea ni hiyo demokrasia inayoleta maana ya ubadhilifu wa haki za msingi za wananchi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom