Chagua mke/ mume uliyeridhika naye kwa 100%

Mapenzi ili yawe strong yanahitaji vitu vitano
1.pesa
2.pesa
3.pesa
4.pesa
5.nasema tena mapenz ni kua na pesa
 
wapi huko mkuu? mi sikuona ndo maana niliona watu pm wananilaumu eti miss kumbe wewe tiss .tiss ndo nini kwanza? ni nani huyo mkuu?
humuJF uzi umefutwa lkn nilikopi aliyokuwa ameyaandika. Kuna vijana kama watano wako urusi. Ukraine. Norway etc eti wamekwenda kusomea hacking waweze kudukua JF na kuidentigy watu...
 
Hapana dear,
Usimkubalie mtu ambaye unahisi moyo wako hauwezi kumvumilia,itakugharimu
Ndo nikasema huo upendo kwangu mimi japo wengine kwenye pesa/utajiri wanaweza kuvumilia ila mimi ni upendo ndo ndio unaoniaminisha ndoa yenye furaha.
 
wapi huko mkuu? mi sikuona ndo maana niliona watu pm wananilaumu eti miss kumbe wewe tiss .tiss ndo nini kwanza? ni nani huyo mkuu?
ngoja niprint nikuwekee. Tumeambiwa kuwa mnajifanya mna biashara na hivyo kuja pm na namba za simu, then unamkamata mtu via TCRA
 
humuJF uzi umefutwa lkn nilikopi aliyokuwa ameyaandika. Kuna vijana kama watano wako urusi. Ukraine. Norway etc eti wamekwenda kusomea hacking waweze kudukua JF na kuidentigy watu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Watu wanapenda kujiongopea
 
Nikwel ila kwadunia yasasa umpate yule ambaye utampenda kwa 100% kwamaana hiyo nayeye pia awe amekupenda kwa 100% mmmh ningumu sana mkuu
 
Huyu Bernad bado mtoto sana,kama siyo kiumri basi kifikra.
Upo kinadharia sana
 
humuJF uzi umefutwa lkn nilikopi aliyokuwa ameyaandika. Kuna vijana kama watano wako urusi. Ukraine. Norway etc eti wamekwenda kusomea hacking waweze kudukua JF na kuidentigy watu...
Ahaaa hebu nitumie pm Mkuu.kwaiyo walinidukua?
 
Nikwel ila kwadunia yasasa umpate yule ambaye utampenda kwa 100% kwamaana hiyo nayeye pia awe amekupenda kwa 100% mmmh ningumu sana mkuu
Hakuna kabisa.na mtu kukuoa au kuolewa na wewe sio kwamba anakupenda saaana
 
Back
Top Bottom