Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,402
- 88,872
Mwambie shemeji aache uchoyoHuo ni mchepuko wangu flani hautaki nitongozwe ahahaaa ananiharibia
Mwambie shemeji aache uchoyoHuo ni mchepuko wangu flani hautaki nitongozwe ahahaaa ananiharibia
Kweli kabisa kuna mwingine anaweza kukuoa, kuoa/kuolewa, kukubali kuolewa kwaajili yakukuonea huruma tu...Hakuna kabisa.na mtu kukuoa au kuolewa na wewe sio kwamba anakupenda saaana
AhahaaaMwambie shemeji aache uchoyo
Kuna huruma pia hana jinsi labda hela au wazazi mambo mengi.upendo hauzingatiwi sana siku hzKweli kabisa kuna mwingine anaweza kukuoa, kuoa/kuolewa, kukubali kuolewa kwaajili yakukuonea huruma tu...
Ndio ipo hivyo nahatuwezi kuikwepa hiyo, kiukwel hata mimi nafurahia sana mapenzi napo date na mwanamke mwenye kismart yaani in short nakuwa full comfortable napenda sana kushhare billKuna huruma pia hana jinsi labda hela au wazazi mambo mengi.upendo hauzingatiwi sana siku hz
Hiyo huruma lazima izae dhambi mwishoni.Kweli kabisa kuna mwingine anaweza kukuoa, kuoa/kuolewa, kukubali kuolewa kwaajili yakukuonea huruma tu...
Duuuuuh.......😱[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Malaika yupi? Wa duniani au wa Chato?
Maisha hubadilika lakini.usiende kwenye mahusiano kwa ajili ya material things.siku halipi bill utafanyeje?Ndio ipo hivyo nahatuwezi kuikwepa hiyo, kiukwel hata mimi nafurahia sana mapenzi napo date na mwanamke mwenye kismart yaani in short nakuwa full comfortable napenda sana kushhare bill
Tavumilia maana ameshanionesha akiwa nazo tunaweza share kuliko kuwa namtu ambaye utambui rangi yake asilia akiwanachoMaisha hubadilika lakini.usiende kwenye mahusiano kwa ajili ya material things.siku halipi bill utafanyeje?
Anahamia kwako au wewe ndio unahamia kwake?unaempenda anazingua ,usiempenda anahamia bila kuitwa
Spy wa shilawadu au serikali?kuna mtu amekunanga kuw wewe ni spy lkn bahati mbaya uzi umefutwa, akatupa tahadhari kuw tujiepushe na wewe katika kila hali.
serikaliSpy wa shilawadu au serikali?
Unapoinga kwenye mahusiano bora uwe na mind ya kutoa tu .ukipewa iwe bonus .Tavumilia maana ameshanionesha akiwa nazo tunaweza share kuliko kuwa namtu ambaye utambui rangi yake asilia akiwanacho
Upo sawa ila ujue kuwa namwenza anayejali kama wewe unavyomjali inakuwa nibima tosha hiyo naujue maisha yasasa hayaeleweki kuna majanga mengi kuna maradhi, kuna kufukuzwa kazi namengine mengi kwahiyo binadamu wengi tumekuwa waoga sana kwahiyo tunachofanya nikutafuta security endapo kama likitokea lakutokea ndiomana me siwezi sikitika nikikataliwa kwasababu sina hela maana hata me sipendi kuwa nahopelessUnapoinga kwenye mahusiano bora uwe na mind ya kutoa tu .ukipewa iwe bonus .
umeona nimekutumia pm naomba jibuUnapoinga kwenye mahusiano bora uwe na mind ya kutoa tu .ukipewa iwe bonus .
Aina shida mimi mwenyewe spy wa US government.serikali
Kuna asilimia ngap?hakuna 100% kwenye mapenzi...tusidanganyane!