Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,656
- 37,821
Loh hii sinema ndefu;
jamani mbona aiih\shi naibuwaziri anadai zile silaha zilizokamatwa tanga ni za vituo vya polisi vilivyoibiwa mwanza
chagonja anasema ni za wale askari wawili wa polisi walioporwa
hii ni serikali moja ama a tofauti
msaada tafadhali