Ukiangalia mambo yanavyopelekwa utagundua kuwa story za amboni na temeke kwa saidi maarufu kwa kuuza mishikaki utagundua zililenga kuficha na kuhamisha mawazo ya watz kwenye uteuzi mbovu wa wakuu wa wilaya.
Amboni hadi leo haieleweki ni nini kilitokea, mishikaki ya paka hainiingii akilini eti saidi alitundika paka huku akiwa ametolewa ngozi na kichwa chake kikiwa wazi, akatundika vile kama ilivyo kwenye picha na pembeni kuna mishikaki hadharani kama vile. Hawa jamaa wanaonekana wako mitaani wanafanya uchinga na show za hapa na pale, minenguo ya ajabu, wanaonekana club chupiless, kama tu tyre za magari zilivyo tubeless mjue nao ni sehemu ya TISS.
Inatia shaka sana story hizi muda huu ambao serikali inabadili maDC kibao na kuweka takataka kibao, eti watz wote siku hizi ni warembo kwa maana ya wadada na wamama hivyo orodha ya MaDC ikiwa na warembo tupu ni reflection ya watz tulivyo.
Nawasilisha