munchamuja
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 350
- 886
TRA waache kumung'unya maneno,Form inaonyesha pesa ziliingia kwenye account yao ya DOMESTIC REVENUE,sasa kama haziwahusu wao si wazirudishe CRDB TOWER BRANCH zilikotoka?
Napo ni mtihani sana mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] never on earthTRA waache kumung'unya maneno,Form inaonyesha pesa ziliingia kwenye account yao ya DOMESTIC REVENUE,sasa kama haziwahusu wao si wazirudishe CRDB TOWER BRANCH zilikotoka?
Wanikabidhi mimi nizipeleke, ila sharti langu na mimi lazima nifanye makinikia walau 50%Napo ni mtihani sana mkuu
Kama mpaka yeye kazirejesha jua ni za motoWanikabidhi mimi nizipeleke, ila sharti langu na mimi lazima nifanye makinikia walau 50%
Duh sasa nani kazipotea. Mheshimiwa Ngeleja wereva you are nipe mimi hizo hela. Maana soon utaozea jela na wenyewe wamezisusa
Ile ndio ishafika pale mengine yote ni story za vijiweniKama TRA hawazitambui si wamwandikie Ngeleja cheki wamrudishie kama wanavyorudisha za VAT zinazodaiwa na walipakodi ili aamue kama aatmrudishia Ruge au azipeleke hazina? Wanasemaje hawazitambuia halafu wanaendelea kukaa nazo?
HILO NALOO NENO! NIKUPE MM WEWE UKARUDISHE KWA MWINGINE!!!!?Tangu mwanzo nilijua Ngeleja alichemka.... Upewe na Ruge uzirudishe TRA? Wao walipaswa kupokea income tax tu.... Alikurupuka na sijui aliyemshauri ni nani!!!!