Chagga day!

Chagga day!

Ernie

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
217
Reaction score
29
Jamani nani anajua Chagga day iko lini na inafanyika wapi 2011? tafadhali tuungane kwenye hili
 
zipo za aina nyingi....wewe unaulizia ipi?
 
Inafanyika tarehe 25 dec 2011. Uje Marangu mtoni!
 
24/4/2011 kwenye ukumbi wa kanisa lolote lililopo karibu yako sa 4 kamili
 
sasa jamani nani mkweli hapa mbona karibu kila mtu anakuwa na tarehe zake, Preta achana na hizo za marangu Mtoni nilikuwepo huko kuanzia tarehe 21 jioni mpaka 26 na kulikuwa hakuna kitu kama hicho, kuna siku ya wachaga ambapowatu tunakusanyikia mjini kula bata wa kutosha na kufahamiana, nakumbuka nishawai kwenda moja na dingi, kama sjakosea huwa inakuwa mwezi wa tisa. hebu tulifanyie kazi hili jamani tujumuike pamoko
 
Kila kabila la Tanganyika likiwa na day yao kutakuwa na mtu anafanya kazi? WanaJf kataeni ukabila.
 
Kila kabila la Tanganyika likiwa na day yao kutakuwa na mtu anafanya kazi? WanaJf kataeni ukabila.

Kilasara, sasa makabila mengine mkianzisha mtakuwa mnaiga, kwa wachagga hii kitu iko siku nyingi sana nazungumzia miaka ya Arobaini na kitu huko, sishauri makabila mengine yaanzishe hiyo its special 4 chaggaz
 
Kila tarehe 11/10 if i do remember well.wapi itafanyika sijui jamani
 
Kila tarehe 11/10 if i do remember well.wapi itafanyika sijui jamani

Kama unasogea karibu vile ila inawezekana tukapata uhakika zaidi ili tujiandae kula bata? Hii imetulia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom