Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 780
- 1,831
Chadema Zanzibara yagoma kusaini Kanuni za Maadili Tume ya Uchaguzi Zanzibar. Yasisitiza msimamo wa chama wa No Reforms No Election
Hii lazima ilete shida,maana watu wanajiuliza kwanini CHADEMA hawashiriki,wanapewa ufafanuzi,huoni ni changamoto?MNAJITEKENYA NA KUCHEKA WENYEWE