CHADEMA Yazizima TANGA

CHADEMA Yazizima TANGA

Ht ww mwenyewe unaipenda ccm kimoyomoyo ila unawazuga hao wamwagia watu na tindikali. Walisha watu sumu

Naichukia ccm kam shetani vile,na mbaya Zaidi nawachukia wote wanao kitetea na kukishabikia kawa watumishi wake(shetani)
 
Source:Tanzania Daima
nitatizo,janga la tasinia ya habari
Tatizo chombo cha habari au habari yenyewe? Tungekuelewa kama ungekanusha habari lakini kama habari ni ya kweli tatizo ni nini.
 
hivi chadema tanga inamajimbo mangapi,naomba nikumbushwe tafadhali.
 
nadhani ni nguvu ya umafia na kumwagia watu tindikali na kulipua mabomu.

Ndio maana wanajaa kwenye mikutano, waTanzania wajinga sana wanakipendea nini hiki chama cha wauaji? Wanamuachia ccm Mwigulu peke yake
 
Ndio maana wanajaa kwenye mikutano, waTanzania wajinga sana wanakipendea nini hiki chama cha wauaji? Wanamuachia ccm Mwigulu peke yake

Ha ha ha ha haaaaaaaaaaa! Uuuuuuuuuuwi!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hoja za CHADEMA siku zote hazibadiliki kuanzia mwenyekiti wao hadi wapambe wao walioko humu Jf na hata wale wanaojidanganya kuwa kero zao zitaondolewa na mtu mwingine au chama fulani badala ya kufanykazi kwa bidii kwa kutumia fursa zilizopo.
.....Fursa gani unaongelea, za kumsaidia Azzan kuuza unga au kumsaidia Kinana kuua tembo?
 
Je kwa kuhamia CDM ndio hizo kero zitaondoka?
Au kwa kuhamia CDM wataziondoa vp hizo kero?
Je CCM wakiziondoa hizo kero watabaki CDM au watarudi CCM?

Tunapopokea wanachama kutoka chama kingine wanaokuja na sababu rukuki za kukashfu chama wanachotoka mimi huwa nawaona ni kama wanamuziki wanaohama Band moja kwenda Band nyingine maana huwa wanasema sababu kibao za kuziponda Band wanazotoka mara wanarudi kule kule wengine tena kwa mbwembwe wakisema nyumbani ni nyumbani

Muwe makini na wanachama mnaowapokea kwenye vyama vyenu

Tulia uchomwe sindano hata kama inauma wewe tulia tu nduguu, kwani hapo huna lolote zaidi ya wivu. VIVA CDM
 
hata hamjui mnachoandika mnabwabwaja tu,mtawatumikia wanasiasa milele
Kwa kauli hii umekubali
kuwa ccm haiwezi kuondoa kero za wananchi!au siyo?kwa hiyo basi waambie
wananchi popote kuwa wasipoteze muda kushabikia ccm ila wafanye
kazi,chadema wanasema watasimamia vyema rasilimali za nchi ili
kuhakikisha kuwa zinawanufaisha wananchi wote,pamoja na kupambana na
ufisadi unaofanywa na viongozi wa ccm,huku wakisisitiza umuhimu wa kila
mmoja kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea maendeleo!!hawa si wapo
sahihi kabisa mkuu?huwa napenda unavyoweza kuwa mkweli sometime.
 
Je kwa kuhamia CDM ndio hizo kero zitaondoka?
Au kwa kuhamia CDM wataziondoa vp hizo kero?
Je CCM wakiziondoa hizo kero watabaki CDM au watarudi CCM?

Tunapopokea wanachama kutoka chama kingine wanaokuja na sababu rukuki za kukashfu chama wanachotoka mimi huwa nawaona ni kama wanamuziki wanaohama Band moja kwenda Band nyingine maana huwa wanasema sababu kibao za kuziponda Band wanazotoka mara wanarudi kule kule wengine tena kwa mbwembwe wakisema nyumbani ni nyumbani

Muwe makini na wanachama mnaowapokea kwenye vyama vyenu

Wamejifunza toka akina Shonza na Mwampamba
 
Back
Top Bottom