220 kijijini, 71 wilaya?? Uongo mwingine bwana hata mtoto mdogo anautambua mapeeema.
Je kuileta Real Madrid nayo vp?
220 kijijini, 71 wilaya?? Uongo mwingine bwana hata mtoto mdogo anautambua mapeeema.
Hoja za CHADEMA siku zote hazibadiliki kuanzia mwenyekiti wao hadi wapambe wao walioko humu Jf na hata wale wanaojidanganya kuwa kero zao zitaondolewa na mtu mwingine au chama fulani badala ya kufanykazi kwa bidii kwa kutumia fursa zilizopo.
Tulia uchomwe sindano hata kama inauma wewe tulia tu nduguu, kwani hapo huna lolote zaidi ya wivu. VIVA CDM
Unaposema FURSA ZILIZOPO unamaanisha nini? Au umekariri kama maCCM wengi wanavyojua kyukalili Slogan za viongozi wao?Hoja za CHADEMA siku zote hazibadiliki kuanzia mwenyekiti wao hadi wapambe wao walioko humu Jf na hata wale wanaojidanganya kuwa kero zao zitaondolewa na mtu mwingine au chama fulani badala ya kufanykazi kwa bidii kwa kutumia fursa zilizopo.