CHADEMA Yazindua Kanda ya Zanzibar

Kanda hiyo na iwe chachu ya kuwapatia wazanzibar madaraka kamili juu ya nchi yao...
 
Tundu Lissu alishasema Zanzibar siyo muhimu kwa Chadema kulikoni tena.

Alisema hawahitaji kura za zanzibar hili kwenda ikulu. sasa hivi wanapingana na tamko la mwana sheria wao.
 
...piga kotekote...piiipoozz....!
 
Chadema ni kama maji usipokunywa utayaoga, sio bara sio Zanzibar TWENDE KAZI NGUVU YA UMMA.
 
NYOTA MPYA YA UHURU WA ZANZIBAR Imeanza kuwaka kupitia CHADEMA Wanzanzibar acheni siasa za mazoea kipeni ushirikiano mpate mnachotaka.

Bandugu Wanzazibar sio walevi wa gongo. Wenzenu wanaota usiku nyie mnaota mchana. ACHENI KUNYWA VIROBA
 

Wanawajua kama ni wakabila
 
Cdm hiyoooooo... To white house in 2015-hili ni `anikwepabo'!

Wale wa buku7 wanaokataa wakamuulize mkuu wao wa kaya, kikwete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…