CHADEMA yazidi kutikisa UZINI Zazibar

Ahadi yangu ipo pale pale Chadema wakishinda uwakilishi jimbo la Uzini mie Ritz nitatembea bila nguo kutoka Posta mpaka Kimara Bonyokwa.

Nikifika Bonyokwa najipiga risasi za kichwa mpaka nife.
 
Barubaru wee mambo vipi? Usihofu kiongozi mie nshakusoma long time. Japokuwa uko ughaibuni huko unatamani sana kurudi bongo hasahasa Zenj alafu mara moja moja uwe unakuja bara kupumzika. Ili ufanikiwe hilo huna budi kuufagilia upande fulani kusudi utakapoibuka tu..........kuwa mimi ndiye DR..........au Barubaru...........hasa ukipitia kwa jussa..........lazima uulambe mkuu. Zamani nilikuwa naku attack .....lakini baada ya kukufuatilia nikaona uko ki-strategy zaidi. Inabidi kwa sasa useme kileee wanachotaka kusikia wazenj masikioni mwao hata kama kitawaangamiza baadae. Ukija Tanzania usisahau kuja Kagera nikupeleke uka mpe hi Mama Tibaijuka.........teheteheteheteheteheteeeeee

Muganyizi,

Hivi umeshawahi kumuona mtu anatema asali na kutamani pilipili? je unafikiri huyo atakuwa wa aina gani? mimi ni kinyume chake.

Nafikiri taarih 22 Feb mpaka 27 Feb 2012 nitakuwa Mwanza. Nitakuja fundisha kidogo pale BOT special course ya Islamic banking. Na bukoba siku zote nakuja kwani nina watoto wanne kutoka huko ninakaa nao na nimewasomesha kuanzia darsa la kwanza mpaka wote wamemaliza vyuo vikuu. ni watoto wa aliyekuwa dereva wangu marhum Willium Rweikiza , huyu ni mkiziba. watoto wake ninaoishi nao mpaka leo ni Kokushubila, Kemilembe, John na Willium(mushumbushi).

Usitie shaka nikija lazima unipatie nsenene.

Wakora kusiima

Narudia tena hila zenu za kusambaza vikaratasi vya kuchochea udini Uzini mmeshindwa.Kwanini CUF hamtaki siasa za kistaarabu? Hivi hujishangai mlipiga kampeni chafu za udini Igunga lakini CUF mlipata kura ngapi na CDM walipata ngapi? Kwa nini hamjifunzi? Cuf mna kampeni chafu dhidi ya CDM kuliko hata CCM kwa nini lakini Barubaru?

ndio ushahidi wenyewe huo?

nakupa pole sana. Kwani siku zote mfa maji lazima atapetape.
Na waaarabu wanasema anayejitapa ni hamnazo. au waswahili wanasema debu tupu ...

Pole sana

Maviiiiiiiiiiiii sasa umeongea nini watu wako zenj we unasema uchagga. Mwita yuko kule.........Mwampamba.........mgombea ni Ali Mbarouk Mshimba......mchaga nani hapo .........kwa reasoning yako wewe utakuwa na govi. Huku Biharamulo tulipo mbubge wetu CDM na kwenyewe ni wachagga.

Mkuu utaumiza kichwa bure,mtu akiwa magamba uwezo wa kufikiri hushuka sana,mwenyewe ilishanitokea mpaka nikataka kupoteza ajira niliporudisha tu kadi ya magamba na kuchukua ya magwanda brain ikaanza kuchemka ile mbaya mpaka sasa wafanyakazi wenzangu wananipenda sana na daima ninakuwa mstari wa mbele ktk kuwatetea wanapodai haki zao bosi naye kaniongezea dau coz ofsini pia nachapa mzigo ile mbaya.
 
Ahadi yangu ipo pale pale Chadema wakishinda uwakilishi jimbo la Uzini mie Ritz nitatembea bila nguo kutoka Posta mpaka Kimara Bonyokwa.

Nikifika Bonyokwa najipiga risasi za kichwa mpaka nife.

Ahali yangu usifike huko.

Kwani wao kushinda ni sawa na ngamia kupenye kwenye tundu ya sindano. Ila majigambo ni mengi sana hawafahamu JF sio kura bali ni fikra na wapambe tu.

Tufanye subra.

Na mamluki wewe umefanyaje? hivi kusema ukweli wanakulipa sh ngapi? ni pm basi siyo kila mtu ajue.

magamba wampeleke muimba kwaya komba kama wanaona dk slaa ni padre na mbowe ni dj maana hawa jamaa wanawifu utafikiri mke mdogo
 
Ahali yangu usifike huko.

Kwani wao kushinda ni sawa na ngamia kupenye kwenye tundu ya sindano. Ila majigambo ni mengi sana hawafahamu JF sio kura bali ni fikra na wapambe tu.

Tufanye subra.

unatembea uchi na ukurutu wako unataka kumuonyesha nani? hivyo ulivyo na nguo tu bado unatisha.
 
Ahali yangu usifike huko.

Kwani wao kushinda ni sawa na ngamia kupenye kwenye tundu ya sindano. Ila majigambo ni mengi sana hawafahamu JF sio kura bali ni fikra na wapambe tu.

Tufanye subra.

ritz usisingizie chadema ikishinda utatembea uchi sema una hamu ya kubakwa na ndio maana unatafuta uanze vipi.
 
Muganyizi,

Hivi umeshawahi kumuona mtu anatema asali na kutamani pilipili? je unafikiri huyo atakuwa wa aina gani? mimi ni kinyume chake.

Nafikiri taarih 22 Feb mpaka 27 Feb 2012 nitakuwa Mwanza. Nitakuja fundisha kidogo pale BOT special course ya Islamic banking. Na bukoba siku zote nakuja kwani nina watoto wanne kutoka huko ninakaa nao na nimewasomesha kuanzia darsa la kwanza mpaka wote wamemaliza vyuo vikuu. ni watoto wa aliyekuwa dereva wangu marhum Willium Rweikiza , huyu ni mkiziba. watoto wake ninaoishi nao mpaka leo ni Kokushubila, Kemilembe, John na Willium(mushumbushi).

Usitie shaka nikija lazima unipatie nsenene.

Wakora kusiima

Wewe hujatulia kabisaaaaaaaaaaaaaaaa. Watoto hao nao wana akili kama zako
 
Ahali yangu usifike huko.

Kwani wao kushinda ni sawa na ngamia kupenye kwenye tundu ya sindano. Ila majigambo ni mengi sana hawafahamu JF sio kura bali ni fikra na wapambe tu.

Tufanye subra.

Dr Barubaru,
Famous one in sea the but they many others...the remedy of fire is fire
 
Hawa Chadema wa ajabu sana sana. Juzi juzi hapa tumemsikia Tundu Lissu bungeni akiwakashifu wazanzibari tena bila aibu wala nini. Leo ati wanajifanya watu wanawaelewa! Kitendo cha Lissu kuwakejeli Wazanzibar kitachukua muda sana kujirekebisha. Ni doa kubwa sana sana ukitilia maana kwamba wakipga kura wengi mijini, kama Temeke, Kigamboni, Ubungo na Gongolamboto ni watu wenye asili ya Zenj au Pemba.

wadau naomba nijuzen, hiv anayegombea ni Mbarouk au Lissu? Maana sijamwelewa huyu ndugu
 
Hivi huyu Mwita Waitara anajua anachoongea au na yeye analipukua tu kama Magamba?! Hivi anajua technology and cost ya kufanya DESALINATION of Ocean/sea water?

Ndiyo Zanzaibar imezungukwa na maji lakini yale ni maji ya chumvi. Hata nchi zilizoendelea kama Japan haithubutu kufanya desalination of ocean water for domestic use insteady wametafuta vyanzo vinginevyo vya kupata maji ambayo siyo ya chumvi.

Anataka kuwadanganya wana Uzini kwamba CDM ikipewa dola itaweza kufanya desalination of ocean water kuondoa tatizo la maji?

Ama kweli all politician are alike. Ujinga wa wana Siasa tuukate out right, vinginevyo hata sisi wasomi tutaonekana bogus!

Luckman, mimi sioni ni wapi katika maelezo ya Waitara amesema maji yanaweza kupatikana kwa kufanya desalination of seawater!. Ikiwa kasema hivyo ni kweli gharama za kuondoa chumvi kwenye maji ya bahari kuyafanya yafae kwa matumizi ya kunywa, kupikia nk ni aghali, lakini inawezekana, deslinization inafanyika kule Songosongo na wananchi wanapata maji. Lakini pia si lazima kufanya desalinization ya maji ya bahari, unaweza kufanyia desalination maji ya ardhini (groundwater) ambayo yana chumvi lakini si katika kiwango cha bahari.. Hii inafanyika hata hapo masaki. Unajua hii miji iliyopo kariu na bahari, groundwater iko affected na maji ya baharini. Stuyfzand (1986) aliyaweka maji katika madaraja yafuatayo ukilinganisha na kiwango cha chloride amabyo ndiyo inayosababisha chumvi: i) Frshwater: Cl < 150 mg/l, ii) Fresh blackish: Cl 150 - 300 mg/l, iii) Blackish: Cl 300 -1000 mg/l, iv) Blackish salt: Cl 1000- 10,000 mg/l, v) Salt: 10,000 - 20,000 mg/l. Kwa hiyo inawezekana kutumia maji ya ardhini yaliyo chini ya miguu yetu ardhini ambayo ni blackish kuyafanyia desalination kwa gharama nafuu kwani kiwango cahke cha chloride ni kidogo.
 
naona makamanda wote waandamizi wamekimbia kuanzia padre na mbowe na wengine wamemwacha waitara na mwampamba.

Ok kufanya mikutano mingi sio kigezo cha ushindi. Kwani kikubwa kinachotakiwa na kukubalika kwa sera zenu na itikadi zenu.
Je chadema mnatosha znz kutokana na kauli zenu majukwaani na bungeni kuhusu znz na waznz?

Majibu ni kwenye kisanduku cha kura.

Tuvute subra.

kwani matamshi yao ni yapi zaidi ya kutaka muungano aidha uvunjwe uundwe upya kwa ridhaa ya watanganyika na wazanzibar, au urekebishwe ziwepo serikali tau, ambapo kuna mambo yatatambulika kuwa ya muungano lakini mambo mengine yazihusu nchi wanachama? Kama ndo haya, si na wazanzibari wanayahitaji? Si wanataka kuwa na timu yao ya taifa? Si wanataka kuwa na mipaka yao kama nchi? Si wanataka rais wao awe na nguvu pasipo kuingiliwa na maamuzi ya muungano?

Naamini wakichagua cdm, ndo kwanza wameanza harakati za kuelekea kutimiza ndoto hii ambyo wengi wanaihitaji
 
ndio ushahidi wenyewe huo?

nakupa pole sana. Kwani siku zote mfa maji lazima atapetape.
Na waaarabu wanasema anayejitapa ni hamnazo. au waswahili wanasema debu tupu ...

Pole sana

Mkuu Barubaru pole sana.Wazanzibar sasa wameamka wanataka maendeleo ya kweli.Awali ulipiga porojo hapa kwamba CDM watapigwa mawe Zanzibar.Wameingia kwa kishindo na kulakiwa na wananchi kwa ukarimu na upendo na wamezindua maskani kila shehia na kupokea kadi kwa mamia.Sasa unajitutumua kwa kueneza chuki za kidini kwamba hawatapata kura.Umechemsha Barubaru,Wazanzibar wa leo ni wasomi na waelewa.
 
kwani matamshi yao ni yapi zaidi ya kutaka muungano aidha uvunjwe uundwe upya kwa ridhaa ya watanganyika na wazanzibar, au urekebishwe ziwepo serikali tau, ambapo kuna mambo yatatambulika kuwa ya muungano lakini mambo mengine yazihusu nchi wanachama? Kama ndo haya, si na wazanzibari wanayahitaji? Si wanataka kuwa na timu yao ya taifa? Si wanataka kuwa na mipaka yao kama nchi? Si wanataka rais wao awe na nguvu pasipo kuingiliwa na maamuzi ya muungano?

Naamini wakichagua cdm, ndo kwanza wameanza harakati za kuelekea kutimiza ndoto hii ambyo wengi wanaihitaji

Hakika CDM itakomboa wazanzibar
 
Ahali yangu usifike huko.

Kwani wao kushinda ni sawa na ngamia kupenye kwenye tundu ya sindano. Ila majigambo ni mengi sana hawafahamu JF sio kura bali ni fikra na wapambe tu.

Tufanye subra.

Unajisema wewe mwenyewe unayejificha nyuma ya keyboard na kupenyeza chuki za kidini
 
Pole Barubaru.Wazanzibar si wajinga tena

Molemo na Barubaru, Sote ni Watanzania hakuna haja ya kutukanana hata kama tunatofautiana itikadi na vyama. Tuishi pamoja katika utofauti wetu. WanaJF naomba tusaidiane katika kukubaliana katika kutofautiana kifikra, kiitikadi na kimaisha bila kuvimbiana au kupigana.
 
Kamanda mwampamba ndiye ambaye ningefurahia kama vijana wa chadema maarufu kama Bavicha mngempa uenyekiti maana anakubalika sana kwa vijana, ni mmoja kati ya vijana waliojaribu na kushindwa kwa kura chache tu tena na mbunge mchachari kama godfrey zambi, tofauti na huyu jamaa yenu anayependa kufokafoka na kuvaa magwanda John heche, yeye ni bingwa wa kutumiwa tu na akina kubenea ili kwenda kumdhoofisha bwana mdogo mchnge kibaha.
Chadema tuwape watu nafasi kutokana na uwezo wako mwampamba tukishinda hilo jimbo mimi kama kamati kuu nitakupa zawadi
vijan wenye mvuto ndani ya chadema ambao tukiwapeleka arumela lazima tushinde.
1.Greyson Nyakarungu
2. Ben saanane
3.Ras kutoka geita
4.Rutaragula
5.Habib Mchange
6. kijana yeyote kutoka shinyanga
7.kashinje masanja
8. Adam chagulani
10.Likapo bakar
11. mwampamba
12.Cosmas makune
ni vijana amabo wengi wao hawana maji kwenye siasa za kitaifa lakini ni wazuri mno kwa strategies na siasa za majukwaani msipowatumia kazi kwenu
 
Back
Top Bottom