CHADEMA yazidi kutikisa UZINI Zazibar

Pole Barubaru kosa lenu CUF ni kuolewa na CCM.Jimbo tayari limechukuliwa na CDM wananchi wameshaamua.Mtahangaika sana na propaganda za udini lakini Mungu yupo upande wa mwenye haki
.

Ndugu yangu acha hizo. Choyo na husda siku zote haifai kwa mwan'Adam.

nani anayeleta udini hapa and ndio kimbilio la chadema wakishikwa pabaya.

Au jipambanue kumwita Dr Slaa ni kosa? au ndio udini?

Soma CV yake utaona , ni miongoni mwa watu wachache sana Duniani walioweza kubarikiwa na kupata sakrament ya Upadrisho. au unamwonea gere kwa hilo? Mbona tunamwita Dr? na hapo huchukii.

Kumbuka kuwa huko Bungeni wapo akina Mchungaji Natse, Mchungaji Msigwa na Mch Rwekatare. utasema nao udini?

Funguka kiakili na tumia akili kufikiri kabla kunena.

E bwanaeeeeeeeeee!Kamanda Mwita Waitara ndani ya Uzini?Songa mbele muraaaaa,kazi uliyonipigia kule Igunga si mchezo,I do admire your spirit mkuu
 
Ni kweli mkuu nasikia tayari kwa Uzini Chadema ina uhakika wa kura 3000.CCM na CUF wanabeba watu kwenye malori tofauti na CDM wanahangaika na watu wa hapohapo

Huzijui wewe siasa za Znz wewe.

Ngoja kisanduku cha kura kitaamua.
 
Acha kudanganya watu kwa kukariri mambo, Japan hawajashindwa bali hawajaamua, haiingii akilini Japan washindwe and then Cyprus waweze.

Japan ni nchi ambayo kiwango Chake cha mvua kipo juu sana say 4000mm, Hivyo hawana haja na dissalination!! Wanfight against Fllood!!
 
.

Ndugu yangu acha hizo. Choyo na husda siku zote haifai kwa mwan'Adam.

nani anayeleta udini hapa and ndio kimbilio la chadema wakishikwa pabaya.

Au jipambanue kumwita Dr Slaa ni kosa? au ndio udini?

Soma CV yake utaona , ni miongoni mwa watu wachache sana Duniani walioweza kubarikiwa na kupata sakrament ya Upadrisho. au unamwonea gere kwa hilo? Mbona tunamwita Dr? na hapo huchukii.

Kumbuka kuwa huko Bungeni wapo akina Mchungaji Natse, Mchungaji Msigwa na Mch Rwekatare. utasema nao udini?

Funguka kiakili na tumia akili kufikiri kabla kunena.

Siku zote wewe ni mtu mwenye chuki kubwa na wakristo kutokana na post zako hapa.I stand to be corrected by anyone!
 
Huzijui wewe siasa za Znz wewe.

Ngoja kisanduku cha kura kitaamua.

Mkuu CUF unayoipigia debe imeshajipaka mavi kwa wananchi.CDM inazidi kupendwa Zanzibar huku Hamad Rashid akiizika kabisa CUF
 
E bwanaeeeeeeeeee!Kamanda Mwita Waitara ndani ya Uzini?Songa mbele muraaaaa,kazi uliyonipigia kule Igunga si mchezo,I do admire your spirit mkuu

Yaani Wazanzibar wamepata mkombozi wa kweli.Kura ni kwa Maalim Mshimba Mbarouk
 
[h=2]Some desalination facts[/h]
  • It is estimated that some 30% of the world's irrigated areas suffers from salinity problems and remediation is seen to be very costly.
  • In 2002 there were about 12,500 desalination plants around the world in 120 countries. They produce some 14 million m[SUP]3[/SUP]/day of freshwater, which is less than 1% of total world consumption.
  • The most important users of desalinated water are in the Middle East, (mainly Saudi Arabia, Kuwait, the United Arab Emirates, Qatar and Bahrain), which uses about 70% of worldwide capacity; and in North Africa (mainly Libya and Algeria), which uses about 6% of worldwide capacity.
  • Among industrialized countries, the United States is one of the most important users of desalinated water (6.5%), specially in California and parts of Florida.
Costs of Desalination
According to the non-profit Food & water Watch, desalinated ocean water is the most expensive form of fresh water out there, given the infrastructure costs of collecting, distilling and distributing it. The group reports that, in the
U.S., desalinated water costs at least five times as much to harvest as other sources of fresh water. Similar high costs are a big hurdle to desalination efforts in poor countries as well, where limited funds are already stretched too thin.
 
propaganda za kichaga teh teh

Maviiiiiiiiiiiii sasa umeongea nini watu wako zenj we unasema uchagga. Mwita yuko kule.........Mwampamba.........mgombea ni Ali Mbarouk Mshimba......mchaga nani hapo .........kwa reasoning yako wewe utakuwa na govi. Huku Biharamulo tulipo mbubge wetu CDM na kwenyewe ni wachagga.
 
Ok kufanya mikutano mingi sio kigezo cha ushindi. Kwani kikubwa kinachotakiwa na kukubalika kwa sera zenu na itikadi zenu.
Je Chadema mnatosha Znz kutokana na kauli zenu majukwaani na Bungeni kuhusu Znz na waZnz?

Majibu ni kwenye kisanduku cha kura.

Tuvute subra.
Japokuwa sikubalianagi na wewe kwa mambo mengi ikiwemo udi wako
Lakini kwa hili ni ukweli mchungu kumeza, Kauli za akina Mh Tundu Lisu kuhusu Znz nadhani ndio angamizo lao

Siku zote wewe ni mtu mwenye chuki kubwa na wakristo kutokana na post zako hapa.I stand to be corrected by anyone!

Je unaweza kutoa ushahidi wa maneno yako? Mimi nipo tayari kama utathibitisha basi mimi mwenyewe nitakuwa wa kwanza kujipiga BAN.

Nithibitishie kama hu msema kweli.

Mimi nasema kwa kinywa kipana sana kuwa wewe ni mdini sana na una choyo kubwa sana na husda. Sababu unakataa Slaa asiitwe Dr wala Padre wakti ni haki yake na amekaa darasani miaka mingi kutunukiwa title hizo. Acha wivu.
 
Narudia tena hila zenu za kusambaza vikaratasi vya kuchochea udini Uzini mmeshindwa.Kwanini CUF hamtaki siasa za kistaarabu? Hivi hujishangai mlipiga kampeni chafu za udini Igunga lakini CUF mlipata kura ngapi na CDM walipata ngapi? Kwa nini hamjifunzi? Cuf mna kampeni chafu dhidi ya CDM kuliko hata CCM kwa nini lakini Barubaru?
 
kwa zanzibar CDM wanacheza, sijui.. itakuwa ni maajabu ya Mwaka wakichukua jimbo. Hapo ndipo nitaamini sasa Maalim Seif kwisha kazi.
Politics is like football game whenever you make a slight mistake your opponents score!! the same in Uzini several mistakes commited by ccm give room for opposition to grab that constituecy!!
 
IKIWA ni wiki ya lala salama ya kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la uwakilishi la Uzini, visiwani Zanzibar, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tayari kimefanya mikutano 68 ya kumnadi mgombea wake, Ali Mbarouk Mshimba.
Hatua hiyo inatokana na chama hicho kufanya mikutano minane ya hadhara kila siku ili kuhakikisha jimbo hilo linatua mikononi mwake pamoja na kuwafikia wananchi wengi.Ni wazi kuwa chama hicho sasa kinatishia vyama viwili vya CCM na CUF na upo uwezekano mkubwa wa CHADEMA kunyakua jimbo hilo.
Katika mkutano uliofanyika kwenye Shehia ya Pagali, kada wa CHADEMA, Mtera Mwampamba, aliwataka vijana kujiepusha na kasumba ya kubebwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye mikutano yake kwa ahadi ya kupatiwa ajira.
Mwampamba alisema badala yake vijana hao wanatakiwa kukumbuka walichofanyiwa katika uchaguzi mkuu uliopita baada ya kubebwa na kupelekwa kisiwani Pemba ambapo wengi wao walirudi na vilema na wengine kupoteza maisha.
Aliwataka vijana hao wasiwe na ugonjwa wa kusahau kiasi hicho, kwa kuwa hadi leo kati ya hao waliopelekwa, hakuna hata mmoja aliyepata ajira.
Naye, Ofisa Mwandamizi wa Utafiti na Sera wa CHADEMA, Mwita Waitara, aliwataka wakazi wa Uzini kutosita kuitosa CCM, kwa kuwa katika miaka 48 iliyokaa madarakani hakuna maendeleo iliyowafanyia.
Akitolea mfano alisema Uzini leo isingetakiwa kukosa huduma za maji ukizingatia kwamba Zanzibar pembe zote imezungukwa na maji, pia jimbo hilo halina shule wala zahanati, pamoja na kufahamika kuwa ndilo la pili katika harakati za kuleta mapinduzi.

SOURCE:TANZANIA DAIMA

Hawa Chadema wa ajabu sana sana. Juzi juzi hapa tumemsikia Tundu Lissu bungeni akiwakashifu wazanzibari tena bila aibu wala nini. Leo ati wanajifanya watu wanawaelewa! Kitendo cha Lissu kuwakejeli Wazanzibar kitachukua muda sana kujirekebisha. Ni doa kubwa sana sana ukitilia maana kwamba wakipga kura wengi mijini, kama Temeke, Kigamboni, Ubungo na Gongolamboto ni watu wenye asili ya Zenj au Pemba.
 
Je unaweza kutoa ushahidi wa maneno yako? Mimi nipo tayari kama utathibitisha basi mimi mwenyewe nitakuwa wa kwanza kujipiga BAN.

Nithibitishie kama hu msema kweli.

Mimi nasema kwa kinywa kipana sana kuwa wewe ni mdini sana na una choyo kubwa sana na husda. Sababu unakataa Slaa asiitwe Dr wala Padre wakti ni haki yake na amekaa darasani miaka mingi kutunukiwa title hizo. Acha wivu.

Barubaru wee mambo vipi? Usihofu kiongozi mie nshakusoma long time. Japokuwa uko ughaibuni huko unatamani sana kurudi bongo hasahasa Zenj alafu mara moja moja uwe unakuja bara kupumzika. Ili ufanikiwe hilo huna budi kuufagilia upande fulani kusudi utakapoibuka tu..........kuwa mimi ndiye DR..........au Barubaru...........hasa ukipitia kwa jussa..........lazima uulambe mkuu. Zamani nilikuwa naku attack .....lakini baada ya kukufuatilia nikaona uko ki-strategy zaidi. Inabidi kwa sasa useme kileee wanachotaka kusikia wazenj masikioni mwao hata kama kitawaangamiza baadae. Ukija Tanzania usisahau kuja Kagera nikupeleke uka mpe hi Mama Tibaijuka.........teheteheteheteheteheteeeeee
 
Hawa Chadema wa ajabu sana sana. Juzi juzi hapa tumemsikia Tundu Lissu bungeni akiwakashifu wazanzibari tena bila aibu wala nini. Leo ati wanajifanya watu wanawaelewa! Kitendo cha Lissu kuwakejeli Wazanzibar kitachukua muda sana kujirekebisha. Ni doa kubwa sana sana ukitilia maana kwamba wakipga kura wengi mijini, kama Temeke, Kigamboni, Ubungo na Gongolamboto ni watu wenye asili ya Zenj au Pemba.

Magamba at work
 
Back
Top Bottom