Tatizo lenu mnafikiria ni CCM tu, Arusha inaweza kubebwa na mwingine sio lazima CCMKanda ya Kasikazini, Kanda ya Ziwa, Kanda ya Magharibu, Kanda ya Kusini -- CCM msahau milele.
Uhai wenu kiasi umebakia Tabora, Singida, Dodoma, Morogoro na Pwani.
Kanda ya Kasikazini, Kanda ya Ziwa, Kanda ya Magharibu, Kanda ya Kusini -- CCM msahau milele.
Uhai wenu kiasi umebakia Tabora, Singida, Dodoma, Morogoro na Pwani.
Hiyo imani ni ya chumbani kwako wewe ama unvyosema,
Tatizo lenu mnafikiria ni CCM tu, Arusha inaweza kubebwa na mwingine sio lazima CCM
Kwani Lwaka na Ludo ni wanaCCM? wao si ndio masniper wa CDM.Fikra za alinacha, wafuatiliaji wazuri wa siasa wsnajua bila shaka kwamba, fujo zote na mauaji yote yanayotokea kwenye mikutano ya Chama kubwa Chadema yanaratibiwa na chama kinachokwenda kufa Ccm. Hapo mlipo mko Icu. Kama mnabisha tusiandikie mate, waambieni hao watendaji wenu wa Ccm tume ya uchaguzi watangaze uchaguzi wa madiwani hapo mtaelewa kama Chadema no mvua ya msimu au ni upepo wa sunami, jaribuni kwa hilo ndo muongee.
Mimi binafsi naona ni sawa tu wapinzani kuchukua AR,cha muhimu kiwe chama cha amani na sio wapenda fujo kama CDM.Eeeeeh, umeona kuwa kumbe CCM hakuna kitu, binafsi nakubaliana na wewe, si lazima CDM, ila kikichukua chama kingine nje ya CCM, powa tu! hapa kikubwa ni kuondokana na huu mzimu CCM, ingawa kwa Arusha nadhani bado ni mapema mno kusema kuwa 2015 CDM itafutika pale
Kwani Lwaka na Ludo ni wanaCCM? wao si ndio masniper wa CDM.
Kanda ya Kasikazini, Kanda ya Ziwa, Kanda ya Magharibu, Kanda ya Kusini -- CCM msahau milele.
Uhai wenu kiasi umebakia Tabora, Singida, Dodoma, Morogoro na Pwani.