CHADEMA yazidi kumeguka...!

Hivi huyu Shoza ana elimu gani? naomba wanaojua watujuze tafadhali...ili nisimshambulie kabla sijajua kiwango chake cha elimu na in msaidiaje/

elimu hiyo hiyo inayokutoa kamasi inamtosha, akizidisha utaokota makopo.
 

...i wish Juliana Shonza angeelewa kilichoandikwa hapa...
 
Last edited by a moderator:
Sisi hatuna haha yakupeana matumaini maana nchi imo mikononi mwetu,tunatekeleza ilani kwa maendeleo ya wote
Nyie mnaoota ndoto za mchana zakuchukua nchi
ndio mnaojifariji ,
Nchi hii itabaki kuongozwa na ccm,kibwetere ataishia kuisikia redioni

Dada angu, ukishaona mtu anatumia ID ya Kilimanjaro jua huyo ni MMachame achana naye, songa mbele.
 

wenzako wanasikitika jinsi SHONZA anavyowakaba koo, wewe unacheka hahahaaa, ili iweje? wasidie wenzako tena kwa hoja manake wao wanaishia kumtukana tu wakati dada wa watu anawapa facts.
 
Dada angu, ukishaona mtu anatumia ID ya Kilimanjaro jua huyo ni MMachame achana naye, songa mbele.

Kweli kabisa mkuu ndio walewale wazee wakibororoni chagga development manifesto,
Wazee wa saccos
 
Juliana Shonza naomba nikuulize kaswali kadogo tu; kama kwa kutoka (kufukuzwa) kwenu Chadema, wewe na wasaliti wenzako mkiwa viongozi wa kitaifa, Chadema haikutetereka, iweje leo kutoka eti kwa katibu mwenezi wa kata Chadema itetereke?
 
Last edited by a moderator:

Nimepitia michango mingi kwenye hii mada, Mbona watu wanamjadili shonza badala ya mada? kwa nini? tujikite kwenye kujadili mada kwa maendeleo ya nchi, udaku wa shonza kafanya hivi na vile so what?
Pole sana dadangu JULIANA SHONZA inabidi uwavumilie watu wa aina hii ya iron boys.
 

Juliana Shonza,huoni ujinga kuripoti habari hii ya kudhalilisha.Inakudhalilisha wewe pamoja na huyu katibu wa hiyo kata kwa sababu wote mmetoka Chadema baada ya kupewa hela na CCM.Chama kikongwe namna hii hakina hata soni kujiimarisha kwa kuhonga watu.Shame on you.
 
hongera kwa kupata chuo .

MA Sociology
[TABLE="class: MsoTableGrid, width: 241"]
[TR]
[TD="width: 49"]S/NO
[/TD]
[TD="width: 226"]NAME
[/TD]
[TD="width: 47"]SEX
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 49"]1
[/TD]
[TD="width: 226"]KALANGA, Laibor
[/TD]
[TD="width: 47"]M
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 49"]2
[/TD]
[TD="width: 226"]NKAINA, Elizabeth Robi
[/TD]
[TD="width: 47"]M
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 49"]3
[/TD]
[TD="width: 226"]MMARI, Eunike, Harold
[/TD]
[TD="width: 47"]F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 49"]4
[/TD]
[TD="width: 226"]NCHIA, Devotha
[/TD]
[TD="width: 47"]F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 49"]5
[/TD]
[TD="width: 226"]JULIANA, Shonza
[/TD]
[TD="width: 47"]F
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]




 
Mtaishia kusema watu wanaoikimbia cdm wamepewa-pesa kisa hamtaki kuamini kwamba chadomo ndio inakufa hivyo
 
Asante mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…