sir.JAPHET
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 699
- 137
Hapa hata mtoto mdogo wa std I ataelewa na kuwa na ufahamu wa kupambanua ukweli halisi!! na uwongo!!
Katika hali ya kawaida tungetegemea kichwa cha habari kingesomeka kiungwana!! lakini gazeti kumbe ni kati ya vijarida vilivyonunuliwa na wezi wa MABWEPANDE!!
Plain stupidity you must have a balanced information in your media!!! Wakati unatumia neno "kuweweseka" umeegemea msitu wa MABWEPANDE!!
Akili zako finyu ndo zinakufanya uandike uliyoandika hivi katika mauaji yote ya wana CDM yanayotokea nchini yanasababishwa na CDM fikiria kabla ya kunena Polisi na CCM ndo chanzo cha vifo hivyo hakuna maandamano yaliyofanyika katika nchi hii yakawa na vurugu ila utokea vurugu pale tu polisi wanapotumwa na mabwana zako kuzuia maandamano hayo. na unaposema M4C ni movement 4 chagaland hapo ndugu yangu ni kauli ya kukata tamaa na kimbunga kinachowajia na mwaka huu mtakoma.Mimi nikiwaambia chdm imejaa waropokaji mnabisha, siku zote ukishindwa kufuata taratibu utaishia kulalama tu. wenzenu wanafanya maandamano ya kistaarabu, ninyi mnasababisha maafa tukiangalia arusha, singida na sasa morogoro, tunapata picha mbaya kuhusu maandamano ya cdm, na hivyo kwa polisi kuchukua tahadhari kwa wauaji ni sahihi kabisa. haya tuangalie mambo ya katiba na sensa hivi kama mtu unaakili za kutosha unaweza kufananisha na mikutano ya mvt for Chagaland>? Na iweje nyie muwe mnasababisha maafa halafu mumpe raisi kazi ya kuunda mitume isiyokuwa na tija,? haya ndo mapungufu ninayoyaona kwa wanachadema they think too little.
Thanks Makoye This is the type of analysis we are looking for! in a government and ruling party where willingly/unwillingly, consciously/unconsciously they have decided to kill analytical minds! I hate these demons!!mangikule,
You're very correct!
Watanzania wanatakiwa kuwa makini sana na baadhi ya media(TV,Radio,Magazeti+vijarida). Watanzania kila siku wanalishwa takataka(garbages) kutoka media mbalimbali kwa makusudi kabisa. Huu ni mkakati maalumu wa CCM na Serikali yake kuwalaghai watu ili wazidi kuwaamini! Chunguza sana habari kutoka vijarida vya udaku,magazeti na Chama na serikali kama Uhuru,Mzalendo,Daily News, Habari leo n.k. Hawajawahi kuandika habari ya ukweli hata moja!....
kuna watu uwezo wao wa kufikiri kweli ni mdogo sanaMimi nikiwaambia chdm imejaa waropokaji mnabisha, siku zote ukishindwa kufuata taratibu utaishia kulalama tu. wenzenu wanafanya maandamano ya kistaarabu, ninyi mnasababisha maafa tukiangalia arusha, singida na sasa morogoro, tunapata picha mbaya kuhusu maandamano ya cdm, na hivyo kwa polisi kuchukua tahadhari kwa wauaji ni sahihi kabisa. haya tuangalie mambo ya katiba na sensa hivi kama mtu unaakili za kutosha unaweza kufananisha na mikutano ya mvt for Chagaland>? Na iweje nyie muwe mnasababisha maafa halafu mumpe raisi kazi ya kuunda mitume isiyokuwa na tija,? haya ndo mapungufu ninayoyaona kwa wanachadema they think too little.
Mimi nikiwaambia chdm imejaa waropokaji mnabisha, siku zote ukishindwa kufuata taratibu utaishia kulalama tu. wenzenu wanafanya maandamano ya kistaarabu, ninyi mnasababisha maafa tukiangalia arusha, singida na sasa morogoro, tunapata picha mbaya kuhusu maandamano ya cdm, na hivyo kwa polisi kuchukua tahadhari kwa wauaji ni sahihi kabisa. haya tuangalie mambo ya katiba na sensa hivi kama mtu unaakili za kutosha unaweza kufananisha na mikutano ya mvt for Chagaland>? Na iweje nyie muwe mnasababisha maafa halafu mumpe raisi kazi ya kuunda mitume isiyokuwa na tija,? haya ndo mapungufu ninayoyaona kwa wanachadema they think too little.