CHADEMA yaweweseka kuweka mwakilishi Kiembe Samaki

security guard

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
773
1,000
Zikiwa zinahesabika siku za kufanya uchaguzi wa mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki,Chama Cha Demokrasia na Mandeleo ( CHADEMA) kimeonekana kuweweseka kwa kushindwa kumsimamisha Mgombea wao mpaka sasa .

Jimbo hilo ambalo lipo wazi baada ya Halmashauri Kuu ya CCM kumvua uanachama aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo Ndugu.Mansour Yusuf Himid kwa makosa mbali mbali ikiwemo kushindwa kusimamia malengo ya CCM na kutelekeza masharti ya Uanachama,Kushindwa kutekeleza wajibu wa mwanachama na kukiuka maadili ya kiongozi wa CCM na Kuikana Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010-2015 na kuisaliti CCM.

Wakati CUF ilitaka kumsimamisha Ndugu Mansour Yusuf Himid kugombea nafasi hiyo kwa tiketi ya chama chao ,Mansour amekataa kata kata kugombea hivyo mpaka sasa wameshindwa kufanya mchakato wa kura za maoni na kumsubiri Maalim Seif atoe jina mfukoni Chadema wameshindwa kabisa na kubaki kuweweseka.

CCM kwa upande wake imeendesha mchakato vizuri na mpaka sasa katika kura za maoni mshindi alishafahamika .

Ni vikao vya juu vinatakiwa kubariki jina la Mahmoud Thabit Kombo kuwania nafasi hiyo kwa tiketi ya CCM.

"Chadema ipo kwenye wakati mgumu kiasi kama tunajidanganya hasa tunapozungumzia kukiimarisha chama kwani muelekeo umeshapotea na hatujajipanga vizuri kwa upande wa Zanzibar" alisema hayo mmoja wa viongozi wa Chadema ambaye hakutaka jina lake litajwe.
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
6,383
2,000

“Chadema ipo kwenye wakati mgumu kiasi kama tunajidanganya hasa tunapozungumzia kukiimarisha chama kwani muelekeo umeshapotea na hatujajipanga vizuri kwa upande wa Zanzibar” alisema hayo mmoja wa viongozi wa Chadema ambaye hakutaka jina lake litajwe.

Ccm chama cha familia, Thabit Kombo mwana ASP mwasisi wa Ccm na kiongozi wa serikali ya mapinduzi na serikali ya muungano sasa familia inarudishwa madarakani, mbio za kupikezana vijiti
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,615
2,000
hiyo zanzibar ni ngumu kidogo kutokana na mindset za wakazi wake, unakosea kuifanya zanzibar study case tathimini ya kupanda ama kushuka kwa maana ya uungwaji mkono.
 
theki

JF-Expert Member
Nov 1, 2013
2,724
1,195
Zikiwa zinahesabika siku za kufanya uchaguzi wa mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki,Chama Cha Demokrasia na Mandeleo ( CHADEMA) kimeonekana kuweweseka kwa kushindwa kumsimamisha Mgombea wao mpaka sasa .

Jimbo hilo ambalo lipo wazi baada ya Halmashauri Kuu ya CCM kumvua uanachama aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo Ndugu.Mansour Yusuf Himid kwa makosa mbali mbali ikiwemo kushindwa kusimamia malengo ya CCM na kutelekeza masharti ya Uanachama,Kushindwa kutekeleza wajibu wa mwanachama na kukiuka maadili ya kiongozi wa CCM na Kuikana Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010-2015 na kuisaliti CCM.

Wakati CUF ilitaka kumsimamisha Ndugu Mansour Yusuf Himid kugombea nafasi hiyo kwa tiketi ya chama chao ,Mansour amekataa kata kata kugombea hivyo mpaka sasa wameshindwa kufanya mchakato wa kura za maoni na kumsubiri Maalim Seif atoe jina mfukoni Chadema wameshindwa kabisa na kubaki kuweweseka.

CCM kwa upande wake imeendesha mchakato vizuri na mpaka sasa katika kura za maoni mshindi alishafahamika .

Ni vikao vya juu vinatakiwa kubariki jina la Mahmoud Thabit Kombo kuwania nafasi hiyo kwa tiketi ya CCM.

"Chadema ipo kwenye wakati mgumu kiasi kama tunajidanganya hasa tunapozungumzia kukiimarisha chama kwani muelekeo umeshapotea na hatujajipanga vizuri kwa upande wa Zanzibar" alisema hayo mmoja wa viongozi wa Chadema ambaye hakutaka jina lake litajwe.
Wewe Z.bar unajua kabisa kama sio CCM basi CUF.CHADEMA kuweka mwakilishi ni sawa na kudeki bahari.Wamewaachia CCM na CUF wakienda niupotezaji wa muda tuu wao wabaki TANGANYIKA Tosha kbs.
 
Uledi

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
583
500
Ccm chama cha familia, Thabit Kombo mwana ASP mwasisi wa Ccm na kiongozi wa serikali ya mapinduzi na serikali ya muungano sasa familia inarudishwa madarakani, mbio za kupikezana vijiti

Mkuu nami nilitaka niulize je huyo Mahmood ni mwana wa Mzee wetu Thabit Kombo?? Kama ni hivyo basi ccm ni chama ni cha familia fulani fulani tu. Sie kina yakhe tulie tu maana hatuna ndugu humo.
 
Ibada ya kwanza

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
3,284
2,000
Wazanzibar wengi hawana elim wanaelim madrasa tu.ni wagumu kuelewa na ni wabaguz.watu wenyewe wapo laki tatu sijui sawa na wakaz wa jimbo moja bara hawana effect yeyote kwene uchaguz mkuu.acha wafe na cuf yao wanaamin ndo chama cha waislam
 
Abunuas

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
8,726
1,500
nyie ccm vipi mmepata mgombea wa udiwani wa chama chenu kule bunda? nasikia mlimfuata kweka akawatosa. ama kweli nyani haoni kundule.
 
WILLY GAMBA

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
211
225
Huko Kiembe Samaki kwa mujibu wa Tume ya Warioba ni nchi za nje ni sawa CDM kuweka mgombea wake Bombay kaskazini
 
mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
Wazanzibar wengi hawana elim wanaelim madrasa tu.ni wagumu kuelewa na ni wabaguz.watu wenyewe wapo laki tatu sijui sawa na wakaz wa jimbo moja bara hawana effect yeyote kwene uchaguz mkuu.acha wafe na cuf yao wanaamin ndo chama cha waislam

wazanzibar hawana akili kama yako unayeongozwa kwa kufuata mkumbo bila kujua unakwenda wapi.
 
m4cjb

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
7,374
2,000
wazanzibar hawana akili kama yako unayeongozwa kwa kufuata mkumbo bila kujua unakwenda wapi.

Bora hata yeye kuliko wewe uliyeamua kuishi kwa kula matapishi ya mafisadi huku watz wenzio wanaishi maisha ya taabu na kukata tamaa huko vijijini!
 
mwobho

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
810
225
Fomu za mikopo na masharti ya chadema saccos wekeni mtandaoni nasi tukope ili tujikomboe kiuchumi,maana ukombozi wa kisiasa na kifikra umeshindikana. Na wale waliijikipesha mapema warudishe ili mzunguko uwafikie watanzania wote tunaoipenda chadema.
 
lutayega

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
1,276
2,000
Mda si mrefu utamsikia tundu lissssu anasema zitto kaligawa hilo jimbo kwa ccm
 
mshunami

JF-Expert Member
Feb 27, 2013
4,166
2,000
Linapokuja suala la kugombea Zanzbar, wala chadema hatusemi uongo! Ndio hali halisi!
 
Butundwe

JF-Expert Member
Dec 27, 2013
303
0
Zikiwa zinahesabika siku za kufanya uchaguzi wa mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki,Chama Cha Demokrasia na Mandeleo ( CHADEMA) kimeonekana kuweweseka kwa kushindwa kumsimamisha Mgombea wao mpaka sasa .

Jimbo hilo ambalo lipo wazi baada ya Halmashauri Kuu ya CCM kumvua uanachama aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo Ndugu.Mansour Yusuf Himid kwa makosa mbali mbali ikiwemo kushindwa kusimamia malengo ya CCM na kutelekeza masharti ya Uanachama,Kushindwa kutekeleza wajibu wa mwanachama na kukiuka maadili ya kiongozi wa CCM na Kuikana Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010-2015 na kuisaliti CCM.

Wakati CUF ilitaka kumsimamisha Ndugu Mansour Yusuf Himid kugombea nafasi hiyo kwa tiketi ya chama chao ,Mansour amekataa kata kata kugombea hivyo mpaka sasa wameshindwa kufanya mchakato wa kura za maoni na kumsubiri Maalim Seif atoe jina mfukoni Chadema wameshindwa kabisa na kubaki kuweweseka.

CCM kwa upande wake imeendesha mchakato vizuri na mpaka sasa katika kura za maoni mshindi alishafahamika .

Ni vikao vya juu vinatakiwa kubariki jina la Mahmoud Thabit Kombo kuwania nafasi hiyo kwa tiketi ya CCM.

“Chadema ipo kwenye wakati mgumu kiasi kama tunajidanganya hasa tunapozungumzia kukiimarisha chama kwani muelekeo umeshapotea na hatujajipanga vizuri kwa upande wa Zanzibar” alisema hayo mmoja wa viongozi wa Chadema ambaye hakutaka jina lake litajwe.

kama CCM inavyo weweseka BUNDA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom