muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 16,076
- 15,248
Kila la kheri kwa Serengeti boys,Timu ya Taifa ya vijana inacheza,TBC wala hawana habari,kwa Huyu Ayoub Lioba simwelewi,alipokuwa nje alikuwa mjuaji kweli,kapewa shavu hakuna analofanya,V8,Posho za safari zimemtia upofu...inashangaza.