jamani wanajf tumieni busara kuzingati mada iliyoletwa badala ya kupote muda kujibisha na magamba..tushambulie kichwa badala ya ma
mba
<br />
<br />
Hiki kimegeuka kijiwe cha wenye matumaini na ndoto za alinacha.Nchi hii kila kijana anataka atoke,awe na maisha mazuri lakini kumbuka kuwa maisha ya mtu ata kama uongozi ni bora badi anawajibika kwa asilimia 80 kuboresha maisha yake.Enzi za Sokoine vijana walilazimishwa kuelekea mashambani aidha maeneo waliyoko ama vijijini ndani ili kuleta tija katika kilimo.
Leo ata wale ambao wanakijua kilimo,hawataki kilimo.Nenda kariakoo na kwingineko watu hawafanyi kazi,wakiguswa eti peopleees.... Power.Nawambieni warahi,ata huyo mnae dhani(na imani hatopata fursa) kwamba atakuwa Rais,bado hata waweza.
Gadaff kawajenga walibia,maisha bora kama nyinyi ,mpendavyo lakini leo hii alivyosalitiwa kwa wachache kulaghaiwa eti wangeweza kuishi maisha bora zaidi ya hayo sasa wameambulia ulemavu,vifo,njaa kali na ukimbizi usio na kikomo.Benghazi hakuna mshahara wala chakula,NATO na washirika sasa wanapitisha bakuli eti kuchangia walibya.
Tazameni wanasiasa hawa,wanaua watu Arusha na Zanzibar,kesho wanamshika bega kikwete eti wanamsalimia kwa furaha na kunywa chai mezani.Utasikia siasa si uhasama .Tuwe makini jamani na kuwasoma hawa wasije wakawa ndio nyoka kupita kiasi kwani hawana rekodi yoyote ya utendaji serikalini zaidi ya kuwa wafanyabiashara na wawakilishi kisiasa na kiimani.Hatuwakatai ila tuwe makini nao.Tambua amani duniani na damu za watu ziko mikononi mwa wanasiasa.