Chadema yawasha moto tunduma

Mufiyakicheko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
892
86
Mkutano upo uwanja wa S/Tunduma Silinde na na viongozi wapo kuongea Rwakatale analonga hivi sasa anasubiliwa Slaa zito nawengine.
 
Kamanda usikose kutundika picha, pia kutupa up to dates kila muda utavyokuwa ukitaradadi.
 
Tuwekee na picha kaka ili tuende sawa,lazima wananchi wajulishwe kila kitu na haya madharau ya waziri Mkullo yatageuka kuwa kilio
 
anawapongeza wanatunduma kwakumchaguwa silinde nikijana makini anaichambuwa ccm anawaelimisha wakazi wa tunduma wasiwachukie wanachama wa ccm tuwaelimishe wahamie cdm
 
huyo waziri nadhani kweli sio mbongo wale wazee walikua sahihi sema tu mausanii ya serikali yetu
hana uruka za kitanzania kabisa, watu walia nja yeye anaonge pumba yakwamba ni habari za mitaa, ina maana yeye hajui kwamba zito ni mbuge tena wa jimbo halali na chama halali cha siasa
Tuwekee na picha kaka ili tuende sawa,lazima wananchi wajulishwe kila kitu na haya madharau ya waziri Mkullo yatageuka kuwa kilio
 
Tuwekee na picha kaka ili tuende sawa,lazima wananchi wajulishwe kila kitu na haya madharau ya waziri Mkullo yatageuka kuwa kilio

ninatumia sim kunamatukio nimechukuwa nimeona niailishesafali niwaabalishe kidogo
 
Bora. wakirudi Dar Mbowe na Dr. watembelee majimbo ya Mdee na Mnyika kuona uungwaji mkono wa CDM. Unajua watu wa ubungo ni sawa na Zanzibar kwa hiyo Mnyika anahitaji kutiwa Moyo saaana na CDM makao makuu. Wasimwachie vita peke yake. Tunaomba picha za Tunduma
 
anaongelea vati ukinunuwa soda unalipa vati 250.bia 800,nk ukinunuwa kitu chochote unalipa kodi
 
Bora. wakirudi Dar Mbowe na Dr. watembelee majimbo ya Mdee na Mnyika kuona uungwaji mkono wa CDM. Unajua watu wa ubungo ni sawa na Zanzibar kwa hiyo Mnyika anahitaji kutiwa Moyo saaana na CDM makao makuu. Wasimwachie vita peke yake. Tunaomba picha za Tunduma

CRAPP!!!!!
Ubungo an Kawe then what? FIKIRI KWANZA kabla ya KUANDIKA!
 
silaa imeshindikana amenda chunya mbowe anasema wabunge wa cdm si wamajimbo ni wataifa wasipomwona silinde wasishituke anakuwa amepangiwa sehem nyingine
 
kama umesikia magazeti leo asbh utagundua sasa dk wetu anaishiwa maneno yakusema si lazima mtu kuongea jaman,midomo hii angalien viongoz wetu sugu kasema et wnananchi wawapige mawe viongozi wasiowataka.lazima tukatae matendo yakukiaminisha chama chetu kuwa cha demokrasia na maandamano ya fujo.nawasilisha
 
Join Date : 6th May 2011
Posts : 9
Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0
 
mkuu futa post yako harafu hacha utoto

kama umesikia magazeti leo asbh utagundua sasa dk wetu anaishiwa maneno yakusema si lazima mtu kuongea jaman,midomo hii angalien viongoz wetu sugu kasema et wnananchi wawapige mawe viongozi wasiowataka.lazima tukatae matendo yakukiaminisha chama chetu kuwa cha demokrasia na maandamano ya fujo.nawasilisha
 
wadau hiyo nmeisikia mbeya siku ya maandamano.nkastuka sasa dk anazeeka nakufikiri kama walivokuwa wanafikiri cuf 2005.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom