CHADEMA yawanasa Lowassa, Mwigulu

CHADEMA yawanasa Lowassa, Mwigulu

Mbinu zao zilishajulikana mapemaa. Lakini cha ajabu, inakuwaje kwenye harambee watu wanarudisha vitu kama kadi, skafu, kofia, magwanda ambavyo alinunua kwa hela yake? Hapo sasa ndo mtajua KUWEWESEKA kwa CCM.. Maana hata hao waratibu wenyewe wengi ni CHADEMA.... Makamanda lambeni bingo tupige harakati
 
Mbona kama mnajitekenya na kucheka wenyewe, kusingekuwa na hofu haya tusingeyasikia, nadhani CHADEMA wana hali mbaya Mwanza.

Una uhakika??? Inashangaza sana kusikia propaganda mbaya kama hizi.
 
Hivi si ni huyu Lowassa walimwita Fisadi na akapewa siku 90 awe amejivua gamba, leo hii kawa lulu? au ndiyo ule msemo usemao baniani mbaya......

Ningependa zaidi NAPE awepo mwanza wakutane uso kwa uso!! chezea EL weye - mtoto wa juzi juzi tu hapa tunakupokea UVCCM harafu eti unanipa siku 90.
 
MBINU zinazosukwa na vigogo wa Chama Cha Mapinduzi Naibu Katibu Mkuu (Bara), Mwigulu Nchemba ili kukidhohofisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jijini Mwanza zimefichuka.
kila anapokanyaga popte huyu kada basi ni dhoruba; wana mwanza jiangalieni sana kuhusu usalama wenu. nimeshawapigia ndugu zangu wote wasiendako huko.
 
Kinachohitajika ni kutatua kero na matatizo yanayowakabili watu haijalishi watu hao itikadi yao ni ipi.Binafsi sioni hiyo inayosemwa ni mbinu ya kudhoofisha chama fulani ilihali matatizo ya watu hayachagui itikadi,ndugu zangu tubadilike na ikiwezekana tuanzishe vikundi ili wale wote wenye nia na moyo wa dhati waweze kutusaidia.Nachukua fursa hii kumpongeza kwa dhati mbunge wa Monduli Ndg.Edward Lowassa na wale wote wenye nia ya kweli ya kuwakomboa wananchi hasa katika kukuza uchumi wa vipato na kuondoa kero mbalimbali ili hatimaye tupate jamii iliyostaarabika.
 
Hayo ni mazingaombwe wala msitishike. Chadema watajisika kutishika ikiwa barabara zitajengwa bila kuchakachuliwa, mahospitali yakiwa na madawa, elimu ya watoto wetu ikiimarika, ufisadi ukiisha, hapo chadema ndo wanaweza kuogopa lakini huo usanii wa kurudisha kadi sio deal kila mtu aweza kutengeneza kadi feki afu akajifanya amerudi kwenye magamba
 
hapo hujuma ziko wapi kweli viongozi wa chadema akiri zao za ajabu sana,sijaona hujuma ilipo pengine ni hofu tu kwamba spidi ya mwigulu na lowasa itawaacha vibaya hapo mwanza.
 
Hawa jamaa kete ya mabomu imewashinda sasa kete ya Mussa Tesha ya tindikali nayo chali sasa wanafukuzia wa machinga na boda boda lakini na hii itafail kweli kaburi linawanyemelea

Mama moto naungana na wewe 100%
 
Hawa jamaa kete ya mabomu imewashinda sasa kete ya Mussa Tesha ya tindikali nayo chali sasa wanafukuzia wa machinga na boda boda lakini na hii itafail kweli kaburi linawanyemelea

Ina maana Nchemba ni kambi yaa Lowassa? Nape je? Sasa huu mgawanyiko umezidi kuwa mkubwa.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ni dalili nzuri za kukamatwa msipojiangalia kwani huu uoga wa mwenyekiti wa CDM ni dhahiri mambo yamewafika shingoni.
Pole sana....ukiwa na sura mbaya hata upake lipstick mpaka miguuni hubadiliki ng'ooo na ubaya wako utabaki paleple!Fedha na t-shirt mtahonga sana kwa vijana wa boda boda lakini Mwanza sahauni kabsaaa!
 
Arachuga imewashinda wanajaribu Rock City, niwaambie ni rahisi kuibadili Arusha kuliko Mwanza ya Msukuma, msukuma akishasema 'yaya getegete' huwezi kumbadilisha mengine yanayofuata ni kudanganyana tu.
 
kila anapokanyaga popte huyu kada basi ni dhoruba; wana mwanza jiangalieni sana kuhusu usalama wenu. nimeshawapigia ndugu zangu wote wasiendako huko.

mkuu liziki hupiganiwa haifungiwi uzio hao ndugu zako hata kama utawazuia kuna siku watajua ukweli na hutaweza kuwazuia kamwe,na lazima ukili kuwa mwigulu ni kiongozi shupavu.
 
Yani mpaka usawa huu chadema tunategemea ccm wasifanye propaganda za kutudhoofisha?Tusilalamike,tufanye counter attack tuwadhoofishe wao.Hizi propaganda mfu za ccm hazitaisha leo,hazijaanza jana na hazitaisha kesho.Tuendelee kuwakaba,tusitegemee huruma yao wala malalamiko.
 
Arachuga imewashinda wanajaribu Rock City, niwaambie ni rahisi kuibadili Arusha kuliko Mwanza ya Msukuma, msukuma akishasema 'yaya getegete' huwezi kumbadilisha mengine yanayofuata ni kudanganyana tu.

Watu wengine kwa ukabila !!!!.Anyway ni vema hata haya mawazo ya kikabila yakaletwa lakini si kigezo cha kupingana na hoja ya watu kujiunga katika vikundi ili wajikwamue.Na mambo haya ya ukabila ndio hasa yanarudisha nyuma juhudi za watu kujiletea maendeleo eti sababu tu wengi wa watu mahala fulani ni wa kabila fulani kama ni hivyo wawezesheni watu wenu basi au ndio ubahili wenyewe ili muwe matajiri.Kwa sasa karibu miji yote mikubwa TZ wazawa halisi hawapo.
 
Mbona kama mnajitekenya na kucheka wenyewe, kusingekuwa na hofu haya tusingeyasikia, nadhani CHADEMA wana hali mbaya Mwanza.
Kama huijui Mwanza mtafute Masha atakusimulia, pamoja na kumleta mkulu na riz1 usiku wa matokeo pale La kairo lakini aliondoka kwa ringi bila tairi.
 
Watu wengine kwa ukabila !!!!.Anyway ni vema hata haya mawazo ya kikabila yakaletwa lakini si kigezo cha kupingana na hoja ya watu kujiunga katika vikundi ili wajikwamue.Na mambo haya ya ukabila ndio hasa yanarudisha nyuma juhudi za watu kujiletea maendeleo eti sababu tu wengi wa watu mahala fulani ni wa kabila fulani kama ni hivyo wawezesheni watu wenu basi au ndio ubahili wenyewe ili muwe matajiri.Kwa sasa karibu miji yote mikubwa TZ wazawa halisi hawapo.
Hujui maana ya ukabila kutaja kabila la mtu sio ukabila au kutaja dini ya mtu sio udini sema kingine.
 
Hujui maana ya ukabila kutaja kabila la mtu sio ukabila au kutaja dini ya mtu sio udini sema kingine.

Kingine ni sisi tulio maskini wa vipato kujiunga katika vikundi ili wale wenye nia na moyo wa dhati wawaze kutusaidia kuliko kulalamika na mbaya zaidi kuwagawa watu kimaeneo ili eti wale wenye dhamila ya kutoa walicho nacho wasifanye hivyo.
 
Arachuga imewashinda wanajaribu Rock City, niwaambie ni rahisi kuibadili Arusha kuliko Mwanza ya Msukuma, msukuma akishasema 'yaya getegete' huwezi kumbadilisha mengine yanayofuata ni kudanganyana tu.

mkuu unadhani msukuma ni wewe pekee yako tuko wengi na hatupendi huo upuuzi wa chadema kwani wameshindwa kufanya chochote tangu tuwachague,
 
Back
Top Bottom