CHADEMA yawanasa Lowassa, Mwigulu

CHADEMA yawanasa Lowassa, Mwigulu

Ccm haiwezi kukihujumu chama kama cdm,cdm kinajimaliza chenyewe kutokana na uozo wa viongozi wake,angalia wanavyoua watu kwa mabomu,silkiliza kauli za viongozi wake,ni za kakatisha tamaa
 
Nimewaona wapambe wao jana pale coffee shop mwanza hotel, wamejazana wananunuliwa chakula cha usiku!
Huku wakimsifia eti 'rais ajaye!?'

Roho ikaniuma sana, ukiwaangalia hali zao, unasikitika! Lakin ndo wakipewa sahani ya chips na rost kuku na wengine bia, wanajitia wamesahau shida zao!

When they wake up, they will realize that it was just a dream!! A day dream!

Mkuu usiumwe na ROHO!
Mapambano ndo yameanza. Ebu angalia muda walioiongonza Tanzania! Na hali waliyonayo kwa sasa ndo utajua tumefikia wapi ktk mapambano ya kuwang'oa hawa wang'oa kucha na meno bila ganzi...
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1373047360495.jpg
    uploadfromtaptalk1373047360495.jpg
    55.5 KB · Views: 59
Back
Top Bottom