CHADEMA yawanasa Lowassa, Mwigulu

CHADEMA yawanasa Lowassa, Mwigulu

Kwa jinsi ninavyowajua machinga wa makoroboi hapo Lowassa kaliwa kama kekundu karata tatu
 
SWALI: Hizo kadi na vifaa vya uenezi vya CDM CCM wamevipataje?? Au wameamua ku-print wenyewe?
 
kama ni hujuma tu mnaogopa nini? na kama siyo kweli kuwa hamkubaliki mnaogopa nini?

Ni dalili nzuri za kukamatwa msipojiangalia kwani huu uoga wa mwenyekiti wa CDM ni dhahiri mambo yamewafika shingoni.

Mbona kama mnajitekenya na kucheka wenyewe, kusingekuwa na hofu haya tusingeyasikia, nadhani CHADEMA wana hali mbaya Mwanza.

Hakika hamdanganyiki kwa vile wanamwanza sasa wameanza kuona uozo wa CDM, huku kulalamika kwenye jukwaa lenu hilin la JF ni dalili kuwa maji yamewafika shingoni, ila mmechelewa.

Teh teh teh, chezea JK wewe. Mtalalamika sana na bado.

Unadhani kwa pumba hizi utamshawishi mwanachadema ahamie CCM?
 
kama ni hujuma tu mnaogopa nini? na kama siyo kweli kuwa hamkubaliki mnaogopa nini?
Kwani ukimwelekeza mtu njia mwelekezwaji anakuwa mpofu?
Kwani indicator inawekwa kwa ajili ya wapofu au wenye macho?
Mleta mada haogopi!
Anawaambia wenye akili kuliko wewe, wachukue hela ya MAFISADI lakini kura wasiwape!
Ni mabadiliko ya mbinu.....!
 
Mwanza tunataka wabunhe wasukuma. Hatutaki tena wakuja.
 
Chama Cha Manyang'au choka ile mbaya!!!!
 
this is very true, jioni ya leo EL yupo gold crest na baadhi ya wajumbe kupanga hizo mbinu vizuri lakin ameshachelewa kamani mtaji awaongezee machinga lakin kura ... ??
 
Hawa jamaa kete ya mabomu imewashinda sasa kete ya Mussa Tesha ya tindikali nayo chali sasa wanafukuzia wa machinga na boda boda lakini na hii itafail kweli kaburi linawanyemelea

Hii mbona ilishafeli kitambo,kabla hata haijaanza'
 
Mimi tena ndio nimeishiwa na nguvu,Juzi tu viongozi wetu walikuwa Ikulu na watuhumiwa wakifurahi katika Dhifa ya Taifa leo tumerudi pale pale katika malalamiko yetu ya kila siku.Wakati mwingine viongozi wetu hawaeleweki na wanatukatisha tamaa hata sisi huku foot-soldiers

Mkulu

Wanasiasa makini wanapingana kwa hoja .....ni jinsi gani wanaweza kuboresha maisha ya watawaliwa...upande mmoja unasema umefanya kazi inayoonekana..... upande mwingine unakataa...mwisho wa siku ...watu hawa wanapaswa kukaa pamoja wanywe na kula....hilo siyo tatizo kwa wao kuchangamana...badilisha mtazamo

Mbinu za kitoto,hata moshi siku ya walimu saccos aligawa hela kwa vijana wake akahadaa kwamba ni michango kutoka kwa wananchi.
 
Ccm haina sababu ya kununua wananchi, nchi mbona tunachukua kiulaini sana 2015. Tanzania hakuna upinzani jamani,bado sana kupata chama cha upinzani. Cdm ni wachangamsha uchaguzi tu.
 
MBINU zinazosukwa na vigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa na Naibu Katibu Mkuu (Bara), Mwigulu Nchemba ili kukidhohofisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jijini Mwanza zimefichuka.

Lowassa ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) na Mwigulu wanatajwa kutaka kutumia harambee ya kuchangia wafanyabiashara wadogo (Machinga) eneo la Makoroboi jijini hapa leo ili kufanikisha hujuma zao hizo za kisiasa.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi, Peter Makere, kupitia idara yao ya usalama wamefanikiwa kunasa mikakati hiyo ya kutaka kuwadhoofisha.

Alisema kuna baadhi ya makada wa CCM wamejipanga kuhujumu kadi na baadhi ya vifaa vya uenezi vya CHADEMA kwa ajili ya kuvirudisha kwenye harambee hiyo ili kuhadaa umma kuwa chama hicho hakikubaliki.

Makere alisema kuwa mgeni rasmi wa harambee hiyo, ametajwa kuwa ni Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Lowassa ambaye ataongozana na makada wengine wa CCM, akiwemo Mwigulu.

“CHADEMA Kanda ya Ziwa Magharibi, imebaini mbinu chafu na ovu zinazopangwa na makada wa CCM kuhujumu kadi na vifaa vyetu. Hujuma hizi zinaandaliwa ili kuuhadaa umma eti CHADEMA haikubaliki. Vifaa hivi vimepangwa kurudishwa kwenye harambee ya kuchangia machinga itakayoongozwa na Lowassa,” alisema.

Alisema kuwa CHADEMA kama chama makini na chenye dira thabiti ya kuwakomboa Watanzania kutoka kwenye makucha ya CCM yaliyojaa umasikini, wanaomba umma upuuze hujuma hizo na kuendeleza mapambano ya kuiondoa madarakani 2015.

Aidha, Makere aliwaomba wamachinga na wananchi wa Jiji la Mwanza bila kujali itikadi zao wapokee fedha za CCM na waongeze ujasiri na mbinu za kuiondoa madarakani katika uchaguzi mkuu ujao.

Alisema muda huu ni wa msimu, kwani baadhi ya viongozi wa CCM wanaotafuta urais kwa gharama kubwa kupitia makanisa na misikitini, wameanza kujipendekeza ili waungwe mkono, hivyo ni vema Watanzania wakawaogopa watu hao kama ukoma.

“CCM lazima ibadilike, iachane na siasa uchwara, hadaa, ghiliba na mazingaombwe. CHADEMA tunataka chama hicho kupitia viongozi wake kiwaambie Watanzania kimewafanyia nini katika sekta za elimu, afya, maji, ajira kwa zaidi ya miaka 50 ya uhuru,” alisema Makere.

Source:Tanzania Daima Ijumaa
Relax guys, watanzania wa sasa sio wa kudanganyika kama zamani washajua kuwa zawadi za wakati wa kutafuta uongozi haziwasaidii kuwaletea maisha wanayoyataka.
I was in Mza recently nilipata kuongea na baadhi ya viongozi wa serikali ya Mza katika maongezi ya nje ya ofisi niligundua jinsi gani wanamuogopa mtu anaitwa wenje na mwenzake, kwamba kila wakitaka kufanya suala lolote la kiserikali wanaomba sana hawa mabwana wasijitokeze kulipinga manake wana influence kubwa kwa wananchi kiasi wanaweza kuzua tafrani mjini!
 
molemo;lowassa ambaye ni mjumbe wa halmashauri kuu (nec) na mwigulu wanatajwa kutaka kutumia harambee ya kuchangia wafanyabiashara wadogo (machinga) eneo la makoroboi jijini hapa leo ili kufanikisha hujuma zao hizo za kisiasa
.

Kaka siasa ni kuzdiana kete lowasa kumharbia wenje mwanza si kwamba anamhujumu ndiyo definition halisi ya siasa ata cdm wanapopambana si hujuma wanataka popularty nitamshangaa sana mtu anayetegemea lowasa aipgie debe cdm mods kuna watu wanatakiwa wapewe darasa la poltcal science huku jf
 
jithe tata;kwa jinsi ninavyowajua machinga wa makoroboi hapo lowassa kaliwa kama kekundu karata tatu
lowasa ni jembe mwtkio ni mkubwaaaaaaaaaaaaaaaaaa saaaaaaaaaaaaaaaaaana
 
Mimi tena ndio nimeishiwa na nguvu,Juzi tu viongozi wetu walikuwa Ikulu na watuhumiwa wakifurahi katika Dhifa ya Taifa leo tumerudi pale pale katika malalamiko yetu ya kila siku.Wakati mwingine viongozi wetu hawaeleweki na wanatukatisha tamaa hata sisi huku foot-soldiers

Mkuu Molemo unaomuona huyu ansema eti viongozi wa CDM wanahujumu chama!
 
Last edited by a moderator:

  • [h=2]
    icon1.png
    CHADEMA yawanasa Lowassa, Mwigulu[/h]
    MBINU zinazosukwa na vigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa na Naibu Katibu Mkuu (Bara), Mwigulu Nchemba ili kukidhohofisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jijini Mwanza zimefichuka.

    Lowassa ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) na Mwigulu wanatajwa kutaka kutumia harambee ya kuchangia wafanyabiashara wadogo (Machinga) eneo la Makoroboi jijini hapa leo ili kufanikisha hujuma zao hizo za kisiasa.

    Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi, Peter Makere, kupitia idara yao ya usalama wamefanikiwa kunasa mikakati hiyo ya kutaka kuwadhoofisha.

    Alisema kuna baadhi ya makada wa CCM wamejipanga kuhujumu kadi na baadhi ya vifaa vya uenezi vya CHADEMA kwa ajili ya kuvirudisha kwenye harambee hiyo ili kuhadaa umma kuwa chama hicho hakikubaliki.

    Makere alisema kuwa mgeni rasmi wa harambee hiyo, ametajwa kuwa ni Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Lowassa ambaye ataongozana na makada wengine wa CCM, akiwemo Mwigulu.

    "CHADEMA Kanda ya Ziwa Magharibi, imebaini mbinu chafu na ovu zinazopangwa na makada wa CCM kuhujumu kadi na vifaa vyetu. Hujuma hizi zinaandaliwa ili kuuhadaa umma eti CHADEMA haikubaliki. Vifaa hivi vimepangwa kurudishwa kwenye harambee ya kuchangia machinga itakayoongozwa na Lowassa," alisema.

    Alisema kuwa CHADEMA kama chama makini na chenye dira thabiti ya kuwakomboa Watanzania kutoka kwenye makucha ya CCM yaliyojaa umasikini, wanaomba umma upuuze hujuma hizo na kuendeleza mapambano ya kuiondoa madarakani 2015.

    Aidha, Makere aliwaomba wamachinga na wananchi wa Jiji la Mwanza bila kujali itikadi zao wapokee fedha za CCM na waongeze ujasiri na mbinu za kuiondoa madarakani katika uchaguzi mkuu ujao.

    Alisema muda huu ni wa msimu, kwani baadhi ya viongozi wa CCM wanaotafuta urais kwa gharama kubwa kupitia makanisa na misikitini, wameanza kujipendekeza ili waungwe mkono, hivyo ni vema Watanzania wakawaogopa watu hao kama ukoma.

    "CCM lazima ibadilike, iachane na siasa uchwara, hadaa, ghiliba na mazingaombwe. CHADEMA tunataka chama hicho kupitia viongozi wake kiwaambie Watanzania kimewafanyia nini katika sekta za elimu, afya, maji, ajira kwa zaidi ya miaka 50 ya uhuru," alisema Makere.

    Source:Tanzania Daima Ijumaa​

    SIO HUJUMA NDIO SIASA KAKA MAPAMBANO YANAELEKEA UKINGON LOWASA ANAKARBIA MAGOGON NYIE LALAMIKEN TU
 
Hawa jamaa kete ya mabomu imewashinda sasa kete ya Mussa Tesha ya tindikali nayo chali sasa wanafukuzia wa machinga na boda boda lakini na hii itafail kweli kaburi linawanyemelea

Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Kweli ccm kwisha kazi ! Eti fisadi lowasa kawa lulu !
 
Hawa jamaa ni majanga wame gonga mwamba.
 
Back
Top Bottom