Yuko wapi james aliyetuahidi picha na hata video?au bado mkutano unaendelea?
Kuna watu siku hizi ukiweka picha wanalalaka kweli hawatakitena picha....weka picha ili tuone kusanyiko.
Chadema kwa sasa ndio roho/tumaini pekee la Watanzania wote.
We siku nyingine usihusishe watanzania wote na hao wahuni wa Chadema. Sema Chadema ni tumaini lako na mke wako na watotot wenu tu.
.
"MADARAKA HUMBADILISHA MTU, YAPATE KWANZA NDIPO TUIJUE TABIA YAKO".