CHADEMA Yatikisa Mwananyamala Hospitali

CHADEMA Yatikisa Mwananyamala Hospitali

Hapa CHADEMA wamefanya jambo jema na la kuigwa.Kila mwenye akili na nia njema aige hili.Mungu awabariki wote waliohusika.Wote tuseme amina!


Amina ndugu, ninachokufurahia ni kuwa umeweza kuwa objective na kuyatazama mambo bila kuvaa miwani ya uchama na ukada, pamoja
 
Inabidi chama letu la CCM liabdilishe unform, badala ya kijani basi lije kivingine maana sasa hiyo rangi inakera. Wananchi hawaipendi tena.

Nimeipenda hiyo ya Chadema.
 
haya ila kwenye mambo ya msingi wote tuwe tunaacha ushabiki kwa umoja wetu.
sawa mkuu nimekupata, ni mara ya pili sasa nimeshuhudia ukizungumzia jambo kwa uhalisia wake,.. la kwanza likiwa la mzee wa ndovu. Unazungumzia vipi hili la usiri wa bunge?
 
sawa mkuu nimekupata, ni mara ya pili sasa nimeshuhudia ukizungumzia jambo kwa uhalisia wake,.. la kwanza likiwa la mzee wa ndovu. Unazungumzia vipi hili la usiri wa bunge?
kwamba vipindi viwe vinafanyiwa editing kabla ya kurushwa? hilo sahihi maana kuna watu wanataka sifa kuoneka hivyo wanafanya mafinyufinyu.
 
Kwa tendo hilo mmethibitisha wazi kwamba mu wabunifu. Kuna mawazo na mwondoko mpya huko CDM. Wachovu wa CCM watahuzunika sana.
 
Dah safi sana makamanda....

"NAONA NYERERE AMEFUFUKA"..hiyo kauli inanipa picha ni kwa namna gani NYERERE yumo mioyoni mwa wananchi.....
 
Back
Top Bottom