CHADEMA Yatikisa Mwananyamala Hospitali

CHADEMA Yatikisa Mwananyamala Hospitali

Chadema, endeleeni tu na moyo wenu huo!!!
One day hata wanaowachukia watajua kuwa kweli ninyi mna roho safi!!
Yatabaki yenye hila tu!!

Tunangojea yule mke wa ccm, aje kukopi na kupesti hii kama alivyofanya kwenya M4C.... Viva CDM...
 
Kuna mambo mengi sana tutafanya.sisi hatuna dollar ila tuna watu.sisi hatupendi kuwa kama huyo vasco da gama.anaonyesha upendo wa kwenda msibani.
 
Chama cha Chadema leo kupitia mtandao wake maarufu Dar es Salaam ujulikanao kama CHADEMA FAMILY kimefanya tukio kubwa la kihistoria.

Chadema Family huku wakiwa na mavazi yao maalum wamefanya usafi katika hospitali ya mwananyamala na kutembelea wagonjwa.Pia watatoa zawadi mbalimbali kwa wagonjwa.

Mmoja wa Makamanda wa Chadema Family Ally Bananga amesema lengo kubwa la tukio la leo ni kuonyesha moyo wa upendo kwa wagonjwa na wahitaji.Kamanda Bananga ameendelea kusema kwamba alama ya rangi nyekundu kwenye bendera ya Chadema ina maana nyingi ukiwemo upendo kwa masikini,wagonjwa na wahitaji.

Chadema Family wameacha gumzo hapa Mwananyamala na wagonjwa mbalimbali wameonekana wakiwakimbilia Makamanda wa Chadema Family kuwauliza namna ya kujiunga na Chadema.

Mama mmoja mwenye tatizo la miguu ameonekana akiangua kilio alipowaona Chadema Family na kupaza sauti akisema '' Mungu wangu naona kama Nyerere amefufuka''.

Chini ni mavazi ya Chadema Family:
attachment.php

nawapongeza sana wana CHADEMA hayo ndo yakufanya
 
Ukitaka kumpata hata alie adui yako mfanyie mema lakini kwa akili ili acje akakuambia twenda tukaibe wote!
 
Chama cha Chadema leo kupitia mtandao wake maarufu Dar es Salaam ujulikanao kama CHADEMA FAMILY kimefanya tukio kubwa la kihistoria.

Chadema Family huku wakiwa na mavazi yao maalum wamefanya usafi katika hospitali ya mwananyamala na kutembelea wagonjwa.Pia watatoa zawadi mbalimbali kwa wagonjwa.

Mmoja wa Makamanda wa Chadema Family Ally Bananga amesema lengo kubwa la tukio la leo ni kuonyesha moyo wa upendo kwa wagonjwa na wahitaji.Kamanda Bananga ameendelea kusema kwamba alama ya rangi nyekundu kwenye bendera ya Chadema ina maana nyingi ukiwemo upendo kwa masikini,wagonjwa na wahitaji.

Chadema Family wameacha gumzo hapa Mwananyamala na wagonjwa mbalimbali wameonekana wakiwakimbilia Makamanda wa Chadema Family kuwauliza namna ya kujiunga na Chadema.

Mama mmoja mwenye tatizo la miguu ameonekana akiangua kilio alipowaona Chadema Family na kupaza sauti akisema '' Mungu wangu naona kama Nyerere amefufuka''.

Chini ni mavazi ya Chadema Family:
attachment.php

Hali Ilivyokuwa Mwananyamala Hospitali.
Greenwhich tegemea mtendaji mkuu wa hiyo hospitali kuhamishwa kwa kuwapa CDM fursa ya kujitangaza kupitia hospitali ya serikali kama alivyofanyiwa Tido Mhando
 
Last edited by a moderator:
Hapo mganga mkuu hana chake tena. Si mnajua kuwa wana bifu na serikali
 
Hapa CHADEMA wamefanya jambo jema na la kuigwa.Kila mwenye akili na nia njema aige hili.Mungu awabariki wote waliohusika.Wote tuseme amina!

Kumbe wakati mwingine unakuwa na busara? Hongera kwa comment hii!!!

Tiba
 
Mkuu Greenwhich.

Hawa Mrs CCM (CUF), wakiamrishwa na mume wao hawakawii kukopi na wao kufanya kama hivi... nadhani wanachosubiri na mume kutoa amri tu...
 
Hapa CHADEMA wamefanya jambo jema na la kuigwa.Kila mwenye akili na nia njema aige hili.Mungu awabariki wote waliohusika.Wote tuseme amina!

Lakini ccm ndo inahudumia kila kitu hapo hospital
 
kwahiyo unanipinga au unawapinga Chadema waliofanya usafi na kutoa misaada kwa hiari yao au hoja yako ni nini? sijakuelewa vizuri mkuu.
 
Napinga sifa nyingi kupewa cdm kwa kufagia hapo nje huku sisi hatupewi sifa yoyote kwa kuhudumia hiyo hospital leo na hata milele..!
 
Back
Top Bottom