Chadema yatikisa iringa mjini.

Chadema yatikisa iringa mjini.

Kama kawa makamanda hakuna kubweteka ni kuwapeleka kwata hao magamba mpaka waisome namba.
 
...viva chadema,twendeni nduli bado anatesa watanzania,yanamwisho haya tukapambane kuondoa ufalme na mkoloni mweusi....
 
picha inaongea maneno 1000 jipange tupia na picha ueleweke mara 1000 kidogo kuliko kusema
 
IMG_20140312_165640.jpg
 
Kama kawaida. Leo jioni kuanzia saa tisa, makamanda wa anga walitua mjini iringa wakiongozwa NA mboe, then lema, msigwa, n.k. Wamewahutubia wananchi na kuwataka siku ya j2 kujitokeza ukumbi wa siasa kusubilia na kulinda kula za kalenga.

Watu walikuwa wengi ajabu.kweli mungu yu pamoja na cdm.nawasilisha.
Tunashukuru kwa taarifa ila tulia kidogo wakati unaandika!!!!
 
Safi sana hakuna kulala hadi kieleweke,Peoples Power
 
Tutalinda kura kwa chopa mbowe tisha kamanda
 
Pamoja sana makamanda,
kazi kwenu wana kalenga,ondoeni aibu ya kwamba hamna wanaoweza kuongoza jimbo lenu isipokuwa familia ya Mgimwa
Sisi tuliombali tunasubiri kuiona hekima yenu.
Ubunge siyo ufalme kwamba unarithishwa kwenye familia ya kifalme husika.
 
Hivi uchaguzi upo iringa mjini au kalenga? Kumbe askari kamanda anaweza kukimbia shemu vta inapopigwa ma kwenda kupigana sehemu nyingine na kurusha risasi ewani amehacha madui wakiteka majimbo du kali karibuni dar na chopa hiondio cdm bwana
 
Back
Top Bottom