Chadema yateua Makatibu wa Kanda, Amani Golugwa na mfungwa Emmanuel Masonga wateuliwa tena

Karibu sana,tunakujua toka Temeke huwezi kutupa tabu
Mwakyembe ameponzwa na ahadi za uongo , liko wapi soko la mchele kutoka Marekani alilotuahidi ? matokeo yake tunaona wanunuzi wa kipemba tu ! ndio kwanza watanzania tumepigwa pini kukanyaga USA .

Ameua Mango Tree na kumdhulumu Mzungu wa watu na kumpiga pini ya kukanyaga bongo !
 
Back
Top Bottom