Chadema yateua Makatibu wa Kanda, Amani Golugwa na mfungwa Emmanuel Masonga wateuliwa tena

Kanda ya Ziwa (Victoria) kuna utata. Huyu mdada (Mwl) ambaye ni Katibu wa Kanda aliwekwa na kigogo mmoja wa "ngazi za juu" kama "chakula yake" pamoja na kwamba hakubaliki. Akapoteza ndoa na kapoteza kazi yake ya ualimu hapa jijini Mwanza. Sasa, wanachama huku hawamtaki, Kamati Kuu haimtaki ila huyo "kigogo" anang'ang'ania aendelee kuwepo. Ndio maana suala lake limeahirishwa.
Mbona humtaji huyo kigogo?Propaganda mfu haziwezi kuwasaidia huko lumumba!
 
Kanda ya ziwa wanasema kadem kake hawakataki na yy anataka kawe kenyewe ili wawe wanapiga vizuri!. Ngoja tuone mkaa na mbeba mkaa nani mzito.
 
Kanda ya Ziwa (Victoria) kuna utata. Huyu mdada (Mwl) ambaye ni Katibu wa Kanda aliwekwa na kigogo mmoja wa "ngazi za juu" kama "chakula yake" pamoja na kwamba hakubaliki. Akapoteza ndoa na kapoteza kazi yake ya ualimu hapa jijini Mwanza. Sasa, wanachama huku hawamtaki, Kamati Kuu haimtaki ila huyo "kigogo" anang'ang'ania aendelee kuwepo. Ndio maana suala lake limeahirishwa.

Mbona maelezo chini yanajitosheleza kwanini usisome? Mtaacha uvivu wa kusoma mpaka lini?
 
Mnatunga uongo kwa faida ya nani ?
Hata wewe unalijua hilo,na unajua kwa nini hawakupi nafasi nyeti kwa sababu ni kichwa toka kyela.Yule bogus Mrema hakuingii hata robo kiutendaji,
Eneo la propaganda halikufai too low kwako,wewe ni organization au operations huko kuna mihela mbowe kaweka vibaraka wake wapige vizuri
 
Usiniingize kwenye uzushi wako ili kunitoa kwenye reli ya kugombea ubunge jimbo la Kyela , Kibaraka wa Mwakyembe we !
 
Back
Top Bottom