CHADEMA yateka kusini - Soma hotuba yao

Elimu kwa wapiga kura ni dozi muhimu sana kwa chama makini. M4C ni mwelekeo sahihi wa kuikomboa nchi hii kwenye fikra mgando na watawala waliofikia kikomo chao.
 
mboye unadhani watz hawajui kuwa wewe wewe ni mchuuzi , kweli mmiliki wa danguro awe rais wa nchi watz wanajua na ulimwengu unajua. Dr slaa analipwa mil 7.5m kwa mwezi. Akiwa rais atataka kulipwa 100m kwa mwezI kwa vile amekaa nje ya bunge kwa muda. Tamaa ,ukanda na uroho wa madaraka ndio sifa ya viongozi wa chadema. Maendeleo yaliyopo kusini sasa ni matokeo ya kazi ambao mtu mwenye akili timamu hawezi kubisha.

Mbona unatoapovu sana??? Sijui unamaanisha Mbeya, Iringa, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Rukwa, Mwanza, Dar na Mara yote ni kanda moja?? Kasome hata Jiografia ya darasa la 5 na itakufundisha!!
 
Na Kigoma kwa Zitto usipasahau.
 
mboye unadhani watz hawajui kuwa wewe wewe ni mchuuzi , kweli mmiliki wa danguro awe rais wa nchi watz wanajua na ulimwengu unajua. Dr slaa analipwa mil 7.5m kwa mwezi. Akiwa rais atataka kulipwa 100m kwa mwezI kwa vile amekaa nje ya bunge kwa muda. Tamaa ,ukanda na uroho wa madaraka ndio sifa ya viongozi wa chadema. Maendeleo yaliyopo kusini sasa ni matokeo ya kazi ambao mtu mwenye akili timamu hawezi kubisha.
Join 10th April 2011
Posts 65
Likes Received 4
Likes given 0
Sio kosa lako kwa ulichokiandika. simple minds discuss people, great/critical minds discuss issues.
Napata taabu sana kuishi na watu wa caribre yako.
 
mboye unadhani watz hawajui kuwa wewe wewe ni mchuuzi , kweli mmiliki wa danguro awe rais wa nchi watz wanajua na ulimwengu unajua. Dr slaa analipwa mil 7.5m kwa mwezi. Akiwa rais atataka kulipwa 100m kwa mwezi kwa vile amekaa nje ya bunge kwa muda. Tamaa ,ukanda na uroho wa madaraka ndio sifa ya viongozi wa chadema. Maendeleo yaliyopo kusini sasa ni matokeo ya kazi ambao mtu mwenye akili timamu hawezi kubisha.

ile namba ya m-pesa haifanyi kazi. Nashindwa kutuma fedha za kuchangia chama. Tafadhali naomba anayefahamu namna ya kutuma anijuze. Naomba makamanda wawezeshwe vilivyo kutekeleza mikakati yote ya kuisambaratisha ccm. Fedha sio tatizo. Tatizo letu kubwa ni ccm. Lazima ingoke. Ongezeni mishahara ya makamanda, msh wa 7.5 kwa mtu mwenye majukumu kama mbowe au slaa pamoja na wabunge hautoshi
 
CCM wanapumua kwa ndani na kufura kwa hasira wakiona hayo yanayotokea, lakini ndiyo hivyo hawana la kufanya wanabakia kulala na kuibua majungu ambayo hata mtoto mdogo anashutukia
 
mboye unadhani watz hawajui kuwa wewe wewe ni mchuuzi , kweli mmiliki wa danguro awe rais wa nchi watz wanajua na ulimwengu unajua. Dr slaa analipwa mil 7.5m kwa mwezi. Akiwa rais atataka kulipwa 100m kwa mwezI kwa vile amekaa nje ya bunge kwa muda. Tamaa ,ukanda na uroho wa madaraka ndio sifa ya viongozi wa chadema. Maendeleo yaliyopo kusini sasa ni matokeo ya kazi ambao mtu mwenye akili timamu hawezi kubisha.

Hata kama "Ramani ya Tanzania Tawala" sasa hivi imebadilika baada ya idadi ya watu kuongezeka na hivyo mikoa na wilaya mpya nazo kuongezeka; mikoa ambayo CDM ina nguvu yaani Mbeya, Iringa, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Rukwa, Mwanza, Dar na Mara haiko katika Kanda moja, hivyo suala la "Ukanda" halipo.
 
mboye unadhani watz hawajui kuwa wewe wewe ni mchuuzi , kweli mmiliki wa danguro awe rais wa nchi watz wanajua na ulimwengu unajua. Dr slaa analipwa mil 7.5m kwa mwezi. Akiwa rais atataka kulipwa 100m kwa mwezI kwa vile amekaa nje ya bunge kwa muda. Tamaa ,ukanda na uroho wa madaraka ndio sifa ya viongozi wa chadema. Maendeleo yaliyopo kusini sasa ni matokeo ya kazi ambao mtu mwenye akili timamu hawezi kubisha.
Nilitaka nikujibu kwenye rangi ya kijani nikagundua humsemi mwenye kiti wangu, kwenye rangi nyekundu, hakuna tatizo kulipana mamilioni kama wana fanyakazi nzuri waliyotumwana watanzania kuliko sasa hivi mjinga mmoja anasafiri kila kukicha lakini anacho mamilion huku nchi ikiwa taabani, rangi ya blue tuambie ni maendeleo yapi ili serikali tuwape zawadi ya kutuletea maendeo....lakini kama ndiyo haya kwa wadongo zetu/ watoto wetu hapana hatakama wewe unafaidika
watoto.JPG
 
Raha tupu jinsi magamba yanavyopukutika, na aje yule mropokaji she-buda aimbe taarabu yake hapa.
 
Back
Top Bottom