CHADEMA Yatangaza makubwa kwenye Hukumu ya viongozi wake wakuu Machi 10, Jumanne

Yote mtaongea ,hukumu iko palepale tu
Hukumu inaandaliwa ikulu kisha itasomwa kwenye ile Kangaroo Court sasa nini itakuwa hatima ya Mashinji aliyeenda kuunga mkono juhudi.

Huyo atawapa hao wanao-dictate hiyo hukumu wakati mgumu sana maanake defection yake wameichagiza at a very wrong time. Let us wait and see.
 
dada yangu acha uoga
 
Mkuu 'Nyanjomigire'

Kuandaliwa hukumu ikulu..., huenda ndio ikawa sababu ya wao CHADEMA kutoalikwa Ikulu?

Kuhusu Mashinji, naona bado huelewi utendaji wa huyu mtawala kwa kuyasoma anayoyafanya.

Mashinji amekwishaomba "msamaha", hao wengine watajijua wenyewe..., mbona ni rahisi kuyaelewa haya mkuu. Ugumu upo wapi?
 
MIMI HAPA CHADEMA NDO HUWA WANANIACHAGA HOI! SASA MPIGANAJI, KAMANDA, Pamoja na majina mengi tu! Anaogopa kweli kwenda sero! Wapambanaji huwa wako tayari kuacha mali, wake, watoto nk kwenda jela kupigania demokrasia km walivyokuwa wanajiita!

Hii niwazi kuwa Mbowe na genge lake lote siwapigania demokrasia ila niwapigania matumbo yao.

Kama ndio ingekuwa hivi kila hukumu mtu ikitaka kutokewa ualike watu wafunge vitambaa! Basi mahakamani pangekuwa nisehem ya maonyesho!

Nashauli police kesho muwe makini msije mkapitia na watu waliovaa kwa urembo wao tu! Make naona wanatafuta pa kusemea tena kama mtawapa mikong'oto watu wao.

Kama ni triki walipanga imefeli! Maana kesi wakiri huwa anajua tu mwelekeo kulingana na ushahidi wao na ushahidi wa mashtaka labda kishawaambia kuwa jamani hapa hamtatoka.
 
Wenzenu wakikaa jera miaka 20. Wewe ukisikia honi tu! Unalia ; mama makamanda wadai demokrasia.
 
Back
Top Bottom